Mkuu hizo takwimu umetoa wapi?? Wanawake ndo wengi ndo mana ndugu zangu waislamu wanaoa hadi wanawake wanne ili kila mwanamke aolewe.Umedanganywa, Takwimu inasema Wanaume ni Wengi kuliko wanawake!
Hapana, kwa Reference Ndogo nenda wikipedia Wanaume tu wengi kuliko Wanawake!Mkuu hizo takwimu umetoa wapi?? Wanawake ndo wengi ndo mana ndugu zangu waislamu wanaoa hadi wanawake wanne ili kila mwanamke aolewe.
Hata biology inakataa hichi ulichokiandika!Umedanganywa, Takwimu inasema Wanaume ni Wengi kuliko wanawake!
kweli vijana Mmekuwa wavivu saana, Jambo dogo kama hili Mnalibishania? Nenda Wikipedia.comHata biology inakataa hichi ulichokiandika!
Unless siku hizi kuna wanawake wana x y chromosomes!
Aisee pole sana, kama dini inaruhusu sogeza mwengine tu.Mkuuu wife yuko mbali sana kukutana kila baada ya 2 month,sasa kwa mwanaume ni ngumu sana kukaa hivihivi
Yaani hata kwa macho ya kawaida tu hapo mtaani kwako!kweli vijana Mmekuwa wavivu saana, Jambo dogo kama hili Mnalibishania? Nenda Wikipedia.com
In a study around 2002, the natural sex ratio at birth was estimated to be close to 1.06 males/female.Yaani hata kwa macho ya kawaida tu hapo mtaani kwako!
Haijawahi tokea wanaume tuwe wengi kuliko wanawake