Hivi wadada siku hizi wameshaolewa wote, maana kila ninayegusa ananiambia ana wake?

kwani we ujasikia kuwa inaruhusiwa 30 women per 1 man cku hizi huenda kweli af utakuta wote hao waliokuambia hivyo wanadate na one man
 
watatu ni sample ndogo sana ndugu, wengine tumeshaenda zaidi ya 200
 
sitaki nataka hiyo mkuu,we wakikuambia hivyo we komaa tu,wanajifanyaga hawapendi kumbe wanapenda hao..
 
kwani mkeo ulimpataje nae hakukuambia ana mtu wake?
 
Upo sahihi kabisa na ndivyo ilivyo
 
Wakikwambia hivyo nawe wambie una mtu na waoneshe hadi pete ya ndoa.
Hapo kwa kizungu tunasema dog kala mbwa.
 
In a study around 2002, the natural sex ratio at birth was estimated to be close to 1.06 males/female.
Huna hata aibu? Data za 2002 unazifanyia reference 2018?
Sijui kama taifa tumekosea wapi kwenye hii elimu yetu.
 
Simple and clear, HUNA HELA NDIO MAANA WANAKUKATAA hahahahaha!Pole sana, tulia tu na wife wako ambae kakupenda na umasikini wako
 
nenda vyuoni utawapata walioko single ila wana vijamaa viwanafunzi vyenzao na wanakupa kama kawa mpunga wako tu
 
Acha kuhangaika kuna maradhi tulia na Mkeo haijalishi yuko mbali unatakiwa kuvumilia.
 
Huna hata aibu? Data za 2002 unazifanyia reference 2018?
Sijui kama taifa tumekosea wapi kwenye hii elimu yetu.
wewe ni Mpumbavu kwelii, Unataka upewe stats zipi? Pinga kwa stats zangu Fala wewe
 
Kama kuoga baharini kuondoa mikosi basi watu wa pwani wasingekuwa na mikosi
 
Mkuu ukikataliwa shukuru, umeepukana na umaskini, stress, visasi, magonjwa na hata dhambi..

Ila utakua unatongoza kizembe, una muulizaje mwanamke kama ameolewa afu utegemee kuambiwa hajaolewa? badilika kwanza kwenye hilo
 
Unafiki ni pale unapomshauri mtu afanye kitu ambacho hata wewe huwezi kukifanya (kuwa na mkeo tu bila mchepuko)
unauhakika gani kama mm nafanya hivyo Mkuu?. Nimemshauri hivyo kwani ajiri ya afya ya ndoa na familia yake.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…