Hivi wafanyakazi wa Clouds radio/tv hamna sehemu nyingine ya kujipiga picha?

Itakuwa juu ya ghorofa. huwa nisehemu nzuri kupigia picha.
 
wasafi tv kwa sasa inapatikana katoka king'amuzi cha azam chaneli number 122.
View attachment 736188

NB:
azam tv inatoa huduma ya paid tv na sio free to air.
bila shaka umenielewa.
Nimekuelewa mkuu nilijua hiyo TV ni FTA kumbe ya kulipia...siwezi kutoa hela yangu nikanunua matangazo ya TV za Tanzania...not worth my money..
Waweke iwe FTA tutaicheki kwenye Digital Receiver tuwape sapoti wapate wadhamini otherwise endeeleeni kuwachangia hela zenu mi zangu zina kazi nyingine
 
Hawa kama ni watanganzaji hawana tofauti na vibaka uvaaji gani huo waangalie mfano mzuri kama wakina Salimu Kikeke
 
Fake ur fake
 
kwa nature ya kazi yao mimi naona sawa tu.
kwa nature ya kazi za wakina amber lulu, Gigy... na video zilizo fungiwa vipi... kwanini nayo isiwe sawa tu... au hii sawa tu ina baadhi ya maeneo mkuu....
 
Lakin hilo halina tatizo kwakuwa mtu anajivunia kuzini kwake kuliko kupigia picha Kilimanjaro hotel huku unafanyia kazi kwenye mgongo wa tembo
 
basi sawa mpenda kitonga.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…