Hivi wafanyakazi wa Clouds radio/tv hamna sehemu nyingine ya kujipiga picha?

Duh hii nayo ni hoja ya kufungulia uzi mkuu.??mbona tunafatilia sana maisha ya watu??
 
Sema kuna mavazi mengine asee sio sawa kwa mwanaune huyo Jamaa alovaa kipensi hivi anajihisi poa kabisa!!mwanaumenkuachia mapaja namba hiyo lazima ukikutana na mtu anaejua kutupa ndoano vizuri hata kama sio Tabia zako unaweza kugawa jicho.
Huyo ni martin kadinda mkuu... Usiumize kichwa
 
Litakua limetengwa eneo maalum kwajili ya picha..
 
Ukiingia clouds mzee ni sawa na kuingia jengo la CAG linaitwa pale Samora....ni kuukuu, chafu sana afu ndani giza kinoma
 
nakupataje kadoda pm umefunga
kadoda11
pole saba amu.
pm niliifunga siku nyingi sana.
samahani kwa usumbufu.ila usijari, nitaifungua hivi karibuni only for you na kuifunga tena immediately.
 
Huyo comando kipensi vipaja kama miguu ya meza.
 
Sema kuna mavazi mengine asee sio sawa kwa mwanaune huyo Jamaa alovaa kipensi hivi anajihisi poa kabisa!!mwanaumenkuachia mapaja namba hiyo lazima ukikutana na mtu anaejua kutupa ndoano vizuri hata kama sio Tabia zako unaweza kugawa jicho.
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…