Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaaa kama mimi tu Sheikh wangu, kikubwa uzima, hapa nimekopa bandoMi mambo yangu wala sio safi brother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa kama mimi tu Sheikh wangu, kikubwa uzima, hapa nimekopa bandoMi mambo yangu wala sio safi brother
Hao watu walichujwa na kuwekwa na mwendazake, mama amerithi tu utawala wa Magu.Magu tena na hapa anahusika?
Achana nae yeye kila kitu kibaya ni Magufuli hiyo TRA ipo tokea Mkapa mambo ni yale yale kidogo hata wakati wa JPM watu walikuwa wanatoa huduma kwa ufanisi!Magu tena na hapa anahusika?
Iyo biashara yako ina mda gani?Hao watu walichujwa na kuwekwa na mwendazake, mama amerithi tu utawala wa Magu.
WanahongaSi nasikia huko wanalipwa mishahara minono sasa hizo elfu 15 si kujidhalilisha? Pesa wanaweka wapi?
Biashara ipi? Mimi nimtumishiIyo biashara yako ina mda gani?
Unataka kujua ili iweje? Wewe changia achana na maswali yasiyo na kichwa wala miguu! Wewe kama unapenda kuanika mambo yako ni wewe sio kila mtu!Iyo biashara yako ina mda gani?
Kama ina mwaka au mwaka mmoja nikitaka kujua kama ulishafungua uzi kipindi Magu yuko hai ukalalamikia kudai rushwa tena ofisini kabisa hapo TRA? Kwanini unadaiwe sasa umsingizie Magu?Unataka kujua ili iweje? Wewe changia achana na maswali yasiyo na kichwa wala miguu! Wewe kama unapenda kuanika mambo yako ni wewe sio kila mtu!
Kwa ujumla suala la Rushwa lipo siku zote hata kipindi cha nyuma naanza biashara niliombwa rushwa na ilikuwa kipindi cha Magu! Ni mwendelezo wa tabia za wafanyakazi wa TRA wao kitu kidogo ni kawaida ila shida ni kuwa kwa mtu asiye na kitu kupata huduma na hii hupelekea picha mbaya sana kwa serkali!Kama ina mwaka au mwaka mmoja nikitaka kujua kama ulishafungua uzi kipindi Magu yuko hai ukalalamikia kudai rushwa tena ofisini kabisa hapo TRA? Kwanini unadaiwe sasa umsingizie Magu?
Nilichoona TRA hasa kitengo cha kubadilisha umiliki wa Gari, kuna mama pale hafanyi kazi kama hujamuwekea pesa kwenye document zako kupata Control namba ilinichukua massa 7 lakini kuna vishoka wanamuita mama nae anaitika na kuwapa control namba ilibidi niwe Mkali ndipo akanitolea kwa kweli wafanyakazi wa kitengo kile wamejiwekea malengo ya kukusanya pesa za hongo kwa siku na kama kazi haina hongo haifanywi sijui tunaelekea wapi??!! Hebu vyombo husika fuatilieni hapoJuzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!
Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!
Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!
TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Hivi hawa watu hawasimamiwi? Why hawajafungiwa camera kwenye maeneo yao ya kazi? Serikali mnafeli wapi?Nilichoona TRA hasa kitengo cha kubadilisha umiliki wa Gari, kuna mama pale hafanyi kazi kama hujamuwekea pesa kwenye document zako kupata Control namba ilinichukua massa 7 lakini kuna vishoka wanamuita mama nae anaitika na kuwapa control namba ilibidi niwe Mkali ndipo akanitolea kwa kweli wafanyakazi wa kitengo kile wamejiwekea malengo ya kukusanya pesa za hongo kwa siku na kama kazi haina hongo haifanywi sijui tunaelekea wapi??!! Hebu vyombo husika fuatilieni hapo
Ningekujibu...🤣🤣🤣🤣🤣
JF hata yule yupo kwa shemeji yake naye hukoroma Kama billlionea.
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!
Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!
Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!
TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Nenda kwa branch manager mwambie shida yakoJuzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!