Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!

Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!

Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!

Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!

TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Kwa hofu na Woga kipindi Cha Jpm walikuaga na woga flani na adabu....kwenye Hili nampa 7/10 Jpm.....Pumzika kwa amani Jpm

Binafsi Huwa nachukia Sana Tabia za watu walio pewa dhamana kutoa huduma ofisi za umma alafu wanazigeuza private entity.......
 
Tabia mbaya sana hii; nilisafiri nchi moja jirani watumishi wa serikali wanaomba rushwa hadi ya jero nilikereheka sana, ni tabia ya hovyo kabisa

Kitu kizuri mtu atoe shukrani mwenyewe kwa msaada aliopatiwa lkn kuomba rushwa ni tabia mbaya sana sana
 
Kwa hofu na Woga kipindi Cha Jpm walikuaga na woga flani na adabu....kwenye Hili nampa 7/10 Jpm.....Pumzika kwa amani Jpm

Binafsi Huwa nachukia Sana Tabia za watu walio pewa dhamana kutoa huduma ofisi za umma alafu wanazigeuza private entity.......
Ningekuwa Mimi ningekwenda kwa Kiongozi wake tuone kama asingeniangalizia au nipatia hiyo huduma.Siku nyingine hebu wapigie wale watu wao wa huduma kwa mlipa Kodi namba zao huwa ni zabure 0800780078 na 0800750075 nimesave kwenye diary yangu huwa wananisaidia sana napoona kunachangamoto Kama hizo.Hebu wacheki jumatatu ili huyo ofisa aliyefanya hizo wamfatilie.
 
Sio TRA tu kila sekita neenda mahakamani utajionea madudu, neenda passport office, magu aliaharibu hi nchi sanaa watu hawakua na uzalendo isipokua wanamhofu yeye tu.
Acha uhuni, mbona hata awamu hii ya Mama Rushwa imetamalaki kila kona, ata mtangulizi wa JPM nchi ndio ilikuwa imeoza kabisa
 
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!

Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!

Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!

Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!

TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Kama wamekuomba rushwa toa taarifa wana namba yao ya whatsapp 0744-233 333.
 
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mradi tu asivimbiwe.
 
Sio TRA tu kila sekita neenda mahakamani utajionea madudu, neenda passport office, magu aliaharibu hi nchi sanaa watu hawakua na uzalendo isipokua wanamhofu yeye tu.
Huyo unaye msema yupo?
Usilete habari za uchochezi na rais wetu kipenz
 
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mradi tu asivimbiwe.
Mdau watu Kama hao dawa yao taja ni ofisi ipi na ni Nani Tena ukiweze nadhani Kuna sijui huwa ni WhatsApp au ni simu yao TRA 0744233333 wambananishe huyo ofisa. Ila da naye njaa gani hiyo maana akijulikana navyomjua boss wao atakula kichwa Cha mtu hapo.Mdau hebu cheki hizo halafu uje utupe mrejesho
 
Groceries nyingi ni zao kwa hela zetu
Jioni wanapitia mauzo
Wafanyakazi wengi wa sekta zenye huduma kwa umma ndio walivyo
Yaani ukiingia tu ofisini kama umeingia kwenye mtego
 
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!

Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!

Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!

Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!

TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Mdau kwanza nikupe pole sana.Dawa yao watu Kama Hawa ni kuwareport tu maana naamini wanawachafua hata wale ambao wanatuhudumia vizuri. Yaani 15,000 da.
 
Kaka hawa watu hata sijui wanamatatizo gani rushwa rushwa na ubabaishaji! Wanapiga stories mda mrefu pia ukikuta anongea na simu utasubiri mpaka uchoke customer care ndogo sana! Tunafanya mambo kwa mazoea sana!
Yaani TRA hakufai kabisa. Ukifika TRA Dodoma unakuta kuna watu (wanaohitaji huduma) wachache, wafanyakazi wengi ila wanaendelea na kupiga soga tu. Utendaji wao imeshuka sana sijui kwa nini. Unafuatilia makadirio ya kodi wiki nzima. Ili uweze kupata makadirio hayo unatakiwa kushinda hapo ofisini kwao siku nzima. TRA ya Dar hasa Ilala ndio hovyo kabisa, wateja wanaenda ofisini kuomba makadirio ya kodi wanazungushwa ni balaa. Bora kufanya biashara bila kulipa kodi aisee!
 
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!

Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!

Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!

Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!

TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
 
Kwa hofu na Woga kipindi Cha Jpm walikuaga na woga flani na adabu....kwenye Hili nampa 7/10 Jpm.....Pumzika kwa amani Jpm

Binafsi Huwa nachukia Sana Tabia za watu walio pewa dhamana kutoa huduma ofisi za umma alafu wanazigeuza private entity.......

Mdau hebu chukua na hii mbananiahe huyu huku Masada sidhani Kama wanasoma wahusika itazidi umia ,mlengeshe huyo Tena mlioue tu akome hiyo 0689122515
 
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!

Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!

Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!

Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!

TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Especially vijana at age of 25-45 ni balaa Sana wanataka rushwa Sana mambo yawe safi kwao. Kwako yadidimiye. Ndo maana kufanya biashara Tanzania lazima uwe na roho ya chuma otherwise hutaweza. Waliofanikiwa wengi wafanyabiashara ni rushwa , kwa kushirikiana na watu wa serikali
 
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!

Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana kuwapa hela kazi hawafanyi! Sasa najiuliza kwa mwenendo huu wa TRA wafanyakazi kupenda kupewa fedha ili wafanye kazi za wateja wao inaleta picha mbaya sana!

Hawa wafanyakazi wa TRA wanamisharhara wanalipwa kutokana na kodi zetu! Huu upuuzi wa kutaka kitu kidogo ndo utoe huduma serkali uiufanyie kazi!

Wananawapotezea mda wananchi na wawekezaji kama mwananchi au mwekezaji hatajiongea kutoa rusha au kitu ndo mambo yake yafanyiwe kaiz atabaki pale hata wiki wakati ni jambo la saa moja linaisha!

TRA ndo kibubu cha taifa ila kunapokuwa na hawa vijana wanaotaka maisha makubwa ya shortcut ndo inapelekea huduma kugeuka kuwa nongwa na kudumaza makusanyo yetu hali inayopelekea huduma mbovu katika sekta zingine!
Asanteh!
Wanakula urefu wa Kamba zao, ila hawavimbiwi.
 
Hahahaaaaa nadhani saa hii huyu njaa njaa tumbo joto maana watu wameamua na hizi namba sidhani Kama atapona .Watu wabaya haaaa.Nadhani tuzitumie tuone matokeo hao wafanyakazi njaa njaa.
 
Back
Top Bottom