Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Wanazo nyingi sio moja Kama yenu...oriotia ssebo, simanyi lusoga?Hata sisi kile kilugha chao hatukielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazo nyingi sio moja Kama yenu...oriotia ssebo, simanyi lusoga?Hata sisi kile kilugha chao hatukielewi
Ninyi mnaongoza duniani na Africa kwaKwanza kabisa hakuna Mwafrika ambaye hajakumbatia kila kitu cha mzungu hadi unavyokunya na kula, unachovaa, kifaa unachotumia humu kuandika, herufi..yaani hadi basi, hivyo huna jeuri ya kumsema mwenzako anaayevitumia.
Kuhusu furaha, emoji emoji sio kiashiria cha furaha maana nyie nawajua mlivyo wanafiki, huwa mnacheka cheka lakini kiundani mumeyabeba majungu na machungu, hivi unafahamu Tanzania ni mojawapo wa mataifa kumi duniani ambayo raia wake wanaishi kwa dhiki.
Hebu waza, mumewekwa kwenye kundi moja na Syria ambao wanachezea mabomu kila siku, yaani itakua mna roho nyeusi kiasi cha kufa mtu, kwamba uwekwe kwenye kundi moja na watu wanaopigana ila wewe kwako unakenua meno hupigani.
Hehehe!! ila poleni ndugu zetu....
![]()
Ninyi mnaongoza duniani na Africa kwa
Njaa
Slums
Insecurity
Rushwa
Ukabila
Kiu
Sisi tuna upendo mwingi, amani na shibe hiyo ndio nature ya mtanzania. Hivyo ninyi enedeleeni kukaa huko twitter, ongeeni English, katumikieni waarabu huko uarabuni lakini bado hamtafikia tranquility na charisma Tanzania tulionayo.
Nimesoma nao USSR..walikuwa ni watu wakujiona sana, hawataki hata kuongea kiswahili...yaani utadhani sio wa east Africa...rafiki zangu wakikuwa wakenya tu.Kwa nini waganda siyo wengi jamii forums au hawafahamu kuwa kuna jf inayo zungumzia maswala ya Africa mashariki tatizo nini maana hapa EA news hata kingereza kinatumika ?
Unachokisema ni kweli...huaga nikiwa jf wenzangu hunishangaa na kuniuliza jamii forums ndo wapi tena..Hata Wakenya pia hawaijui jamiiforums, hawa mnaobishana nao hapa aidha wanaishi hapa kwetu au wanadili na TZ kila siku. Huwa niko Kenya mara kwa mara, hivyo najua Mkenya wa kawaida haijui jamiiforums.
Hivi kuna nchi watu wanauwana hovyo kwa sababu za ukabila kama Kenya?, mauaji ya Albino ni sawa na Alshabaab wanavyowauwa wakenya, hilo ni tendo la kijambazi, lakini kuwauwa wajaluo na kuwachoma moto wakiwa katika NYUMBA ya Mungu, huo ni unyama wa hali ya juu sana, hadi Leo hakuna hata MTU mmoja ameshitakiwa, wakati huku watu wote waliohusika na vifo vya albino walikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa. Uchaguzi uliopita wajaluo 67 waliuliwa na hakuna hata mmoja aliyewajibishwa, hovyo sana nchi yenu hiyo.Hivi kuna nchi, nitajie hata moja inayowazidi nyie kwenye kuwachinja albino....bora niongoze kwa vyote hivyo ulivyovitaja lakini nisiwachinje viumbe hao maskini kisa nasaka utajiri na ushindi wa kura, ni ujinga uliopitiliza.
Kuna video moja inaeleza kuhusu mnavyowachinja albino, yaani comments za watu wa mataifa mbali mbali walikua wanaitukana Afrika wakidhani ni sisi sote, kumbe ni nchi moja tu yenye watu wa roho nyeusi.....yaani mnampa shetani ushindani.
Sisi tunawapeni mtanzania mmoja tu anawatosha MagufuliHehehe na bado mtakoma ubishi, humu JF kuna Wakenya wasiozidi kumi ila utadhani tuko laki moja, yaani Mkenya ni balaa kupita maelezo, hadi raha.
Hebu nionyeshe wapi Watanzania mnasikika kwenye jukwaa la kijamii la kimataifa, ukienda Twitter tumegaragaraza huko, mpaka juzi Watanzania wamejitutumua kuiga KoT kwa kubuni ToT.
Kule Nairaland Wanigeria hawana hamu na Wakenya wanaotetemesha jukwaa lote, hata hawazidi watano.
Sasa kama wao wanazo nyingi bc na unataka waTz tuzijue na wao wajue lugha zetu zaidi ya 121 sasa cjui wataweza kama ukijidai wanazo nyingi A. Mashariki hii hamna nchi inayoweza kuifikia Tanzania kwa lugha nyingi za kikabila ila cc tuna akili sana tukatafuta lugha 1 ambayo hiyo lazima kila kabila aijue sasa ukituambia wanazo nyingi hatukuelewi unaongelea ufahari wa lugha ama ?Wanazo nyingi sio moja Kama yenu...oriotia ssebo, simanyi lusoga?
Nyinyi Kuna vile hamzijui lugha zenyu za asiliSasa watz na waganda ni Nani wana lugha nyingi !!?
Wewe hata yako huijui.Sasa kama wao wanazo nyingi bc na unataka waTz tuzijue na wao wajue lugha zetu zaidi ya 121 sasa cjui wataweza kama ukijidai wanazo nyingi A. Mashariki hii hamna nchi inayoweza kuifikia Tanzania kwa lugha nyingi za kikabila ila cc tuna akili sana tukatafuta lugha 1 ambayo hiyo lazima kila kabila aijue sasa ukituambia wanazo nyingi hatukuelewi unaongelea ufahari wa lugha ama ?
Hivi kuna Mtanzania hafahamu lugha yake ya asili au ni ile umetype tu ili uonekane na wewe umetype.Nyinyi Kuna vile hamzijui lugha zenyu za asili
Hebu ongea yako tujioneeHivi kuna Mtanzania hafahamu lugha yake ya asili au ni ile umetype tu ili uonekane na wewe umetype.
Hio ndio kusema Nini?Kamtsa.
Ni salamu tuHio ndio kusema Nini?
Wewe Yangu unaijuaNyinyi Kuna vile hamzijui lugha zenyu za asili
Wewe hata yako huijui.