Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?


Tatizo la ushoga linaanzia kwenye familia
Ambako huko kunakuwa na wazazi na sio viongozi wa siasa

Kama wazazi ambao wanakaa na watoto 70% ya Maisha Yao watashindwa kuweka misingi mizuri then no one huku nje atawasaidia

So kama unaona Mtoto wako ana dalili zote za ushoga na ukawa unamchekea do you think lisu au Mbowe wataweza?
 
Je,
ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa?
Dogo,
Ni vizuri tuanze kujua msimamo wa watawala wa ccm kuhusu hayo masuala ya ushoga na LGBTQ kwa ujumla.

Waliwahi kutoa msimamo wao hadharani, soma hapo chini..

"Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania.... amesema kuwa wapenzi wa jinsia moja hawapo hatarini nchini humo...."
πŸ‘‡
 


Serikali inapata mikopo wapi?
Ila we jamaa bwana

Ulitakiwa Andiko hili liende moja Kwa moja Kwa serikali

Because wao ndio kila siku wako Kwa hao watu wakiomba ela na misaada

Sasa unataka kusema Kwa serikali ni Sawa la Kwa Lissu ni dhambi kupewa ela na watu ambao utamaduni wao wanapenda ushoga?
 
Serikali ya CCM imekuwa na mkakati gani? Kwa nini hilo tatizo lipo na wakati Serikali iliyokuwepo madarakani sasaivi ni hiyo ya chama chako CCM?
Gentleman,
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani,

masuala ya ushoga, utoaji mimba na usagaji sio ya chama hiki wala kile. wewe unaweza kua wa chama Fulani Lakini kaka yako akawa shoga Lakini yupo kwenye chama kingine, aibu itakua kwako na kwa familia yako zaidi.

Ni rahisi sana,
ni mikakati ipi waliyonayo wagombea uongozi wa chadema Taifa kuwaokoa mashoga waliomo ndani ya chadema ndani na nje ya nchi, maana wapo wengi tu?πŸ’
Gentleman,
tayari ndani ya chadema wapo mashoga ndani na nje ya nchi,


Je,
wagombea uongozi wa chadema Taifa wana mipango mikakati gani kuwasaidia hawa vijanaa mashoga? au wawatazame tu wakifedhehesha familia zao na chadema kwa ujumla?πŸ’
 
Gentleman,
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani halafu hayo mengine ya ziada ukayaandikia uzi mahususi, for sure itapendeza zaidi kwa faida ya wadau πŸ’
 
no gentleman,
tafadhali usinilishe maneno plz plz,

suala la ushoga, utoaji mimba na usagaji ni masuala mtaumbuka ya fedheha sana kwa familia, nyumba za ibada, vyama vya siasa na Taifa kwa ujumla.

na uwajibikaji katika kulitokomeza hilo, inafaa kua kulingana na hatua hizo.

Sasa je,
wagombea uongozi wa chadema Taifa wana mipango mikakati gani mbadala dhidi ya ufirauni ambao unatendeka miongoni mwa wachadema wa ndani na nje ya nchi ambao wamezama kwenye uchafu huo?πŸ’
 
Labda kupambana lakini siyo kutokomeza.

Ufirauni umekuwepo karne na karne. Mataifa mbalimbali yamejitahidi kuweka sheria za kuzuia, lakini hayajafanikiwa.

Nchi za kiarabu zimeweka mpaka adhabu ya kifo kwa, lakini bado nchi za kiarabu na waarabu ndio wanaoongoza kwa ufirauni. Ndiyo maana hata hapa Tanzania, maeneo ambayo waliishi waarabu, hasa maeneo ya Pwani na Zanzibar, ndiyo yanayoongoza kwa tabia hizo chafu. Huko bara kwa washamba, ni nadra sana kusikia matukio hayo ya ufirauni.

Kukomesha ufirauni ni sawa na useme unataka kukomesha uzinzi. Nchi za Kiarabu zimeweka adhabu ya kifo kwa wazinzi, lakini uzinzi bado upo, tofauti na nchi zisizo na sheria ya kuzuia uzinzi na hayo mataifa yaliyoweka sheria za kuzuia, ni kwamba kwenye mataifa yanayozhia, uzinzi na ufirauni unafanyika kwa kificho na kwa gharama kubwa, huko kwenye mataifa mengine unafanyika kwa uwazi.

Tanzania tuna sheria inayozuia ubakaji, uingiliaji kinyume cha maumbile au kuwaingilia wanyama, lakini kama ilivyo kwa makosa mengine, sheria hizo hazijaweza na hazitaweza kukomesha au kuyafanya matukio hayo yasiwepo kabisa. Fikiria wapo watu, wanaume wanaingia vyumbani na wanawake, lakini huko ndani wanaingiliana kinyume cha maumbile, uliyepo nje utajuaje? Mambo haya ya faragha ni magumu kuyadhibiti. Na akitokea mtu akasema yeye ana uwezo wa kuyakomesha, ni mwongo.
 
Hii kazi sio ya wazazi, walezi na familia za watu wenyewe au?
ni wajibu wa familia, taasisi za dini, taasisi za elimu, vyama vya siasa, vyama vya kiraia na serikali kama mlezi mkuu wa Taifa.

katika hatua hizo za malezi na makuzi, kumekua na changamoto kidogo la kutowajibika ipasavyo , na matokeo yake lawama zimepelekwa hatua ya mwisho kabisa, kitu ambacho nadhani si sawa.

hata hivyo,
pamoja na hayo wajibu wa malezi na makuzi ya vijanaa wetu ni muhimu sana yakapita katika hatua hizo kwa umakini na uangalifu mkubwa.

halafu,
swali langu ni rahisi tu kwa wagombea uongozi wa chadema Taifa, wana mipango mikakati gani mbadala dhidi ya masuala haya ya ushoga utoaji mimba na usagaji, kwasababu wapo waathirika ndani ya chadema Tanzania na nje ya Tanzania?

Taasisi na vyama vya siasa vingine nitawauliza wakati mwingine muafaka nitakapopata fursa hiyo πŸ’
 
Wewe ukiitwa BOGA,KUBWA JINGA, BONGOLALA, POPOMA,BUMUNDA utakasirika???

Swali hilo anapswa kuulizwa MAMA YAKO Mama Abdul, kama kiongozi mwenye Dola Rais, Tanzania imetoa msimamo gani kuhusu USHOGA?? unawauliza CHADEMA wao wana Dola??

Suala la USHOGA ni tete ndo maana Mama Abdul yupo kimyaa, siku akifungua KINYWA chake kuonglea, siku hiyohiyo mirija ya ASALI inafungwa!!!

Unapouliza maswali uwe unaelekeza kwa mamlaka sahihi ambayo Ina tools za ku excute mambo.
 
Ushoga na usagaji ni inclusive CCM na CCM huko ndiyo kimbilio na wanalindwa na Katiba ambayo CCM haitaki iguswe
 
hongera sana gentleman,

angalau leo kwa mara ya kwanza mwaka huu mpya 2025, umejieleza kwa kurilax na kwa angalau maelezo yaliyonyooka. Kongole nyingi sana kamanda keep it up,🌹

hata hivyo,
eneo moja muhimu uliloeleza ni katika opening point yako. Lakini gentleman, ni muhimu sana kua na mikakati ya kupambana sambamba na ya kutokomeza mauchafu kama haya.

Pia closing point yako kwamba mtu atakae sema atayakomesha mambo haya ni muongo, hii si sawa gentleman.

kuna mambo yanahitaji boldness tu kuyatokomeza na inawezekana kabisa kutokomeza ushoga utoaji mimba na usagaji Tanzania tukiamua.

Asanti sana kwa mchago wako japo hujasema mikakati ya wagombea uongozi wa chadema Taifa πŸ’
 
Ushoga na usagaji ni inclusive CCM na CCM huko ndiyo kimbilio na wanalindwa na Katiba ambayo CCM haitaki iguswe
Gentleman,
wagombea uongozi wa chadema Taifa wana mipango mikakati ya kupambana na kutokomeza ushoga utoaji mimba na usagaji ndani ya chadema?πŸ’
 


Familia zina mikakati gani?
 
Familia zina mikakati gani?
Tayari kuna vijanaa mafirauni, watoaji mimba na wasagaji ambao ni wanachama wa chadema ndani na nje ya nchi,

wagombea uongozi wa chadema Taifa, wana mipango mikakati gani kuwasaidia hawa vijanaa walionasa kwenye tope hili chafu la fedheha sana kwa familia , taasisi za dini wanazoabudu, taasisi za elimu walizosomea, vyama vya siasa walimo na Taifa kwa ujumla? πŸ’
 


Hao vijana walijiunga chadema wakiwa na miaka 3? Si wamejiunga wakiwa watu wazima?

Means walienda na hizo tabia zao so no one can change them

Makosa yalifanyika kwenye familia zao, sasa unataka chadema waseme kitu gani?

Kwani mwenyekiti wa ccm alisema kitu gani au ana utaratibu gani Kwa watu wa Aina hiyo ambao wapo ccm?
 
Hao chawa akina Tlaatlaah wakikujibu nijulishe chifu.
 
Hao chawa akina Tlaatlaah wakikujibu nijulishe chifu.
Gentleman,
mimi ndie mtoa hoja mahususi mezani, niulize chochote kuhusu bandiko hilo nitakujibu bila mbambamba yoyote,

Lakini pia,
ukiniuliza kilicho nje ya hoja mahususi nitakufafanulia kinagaubaga kitaalamu vile vile πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…