so,Hao vijana walijiunga chadema wakiwa na miaka 3? Si wamejiunga wakiwa watu wazima?
Means walienda na hizo tabia zao so no one can change them
Makosa yalifanyika kwenye familia zao, sasa unataka chadema waseme kitu gani?
Kwani mwenyekiti wa ccm alisema kitu gani au ana utaratibu gani Kwa watu wa Aina hiyo ambao wapo ccm?
Gentleman,
kwahiyo likitokea au ukilibaini kwa members wa familia yenu, members wa taasisi yenu ya kidini au members wa chama chenu cha siasa mnalifurahia sana, right?๐
so,Donโt think of Ushoga hata; these are peoples choices, I donโt care much; I protect watoto wangu vizuri, na kumwomba Mungu na kuwaombea wengine; but this will never be my priority !
Amina sana MtumishiMungu akubariki sana gentleman ๐
so,
wagombea uongozi wa chadema Taifa hawana mikakati yoyote kuwasaidia hao vijanaa, right?
au na wao wanashiriki ufirauni huo na ni watetezi wa ufirauni?๐
Nafikiri Tlaatlaaah kabla ya kusogeza swali hilo kwa chadema,ungeanzia Ccm kupitia BASATA ,ukipata majawabu yao ,sasa uje chadema uwaulize,hivi sisiemu walitengenezaje mamilionea kwa kuruhusu mmomonyoko mbaya zaidi wa kimaadili katika taifa letu.Bila shaka wakatihuo chadema wangekupa nini mtazamo wao.Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla..
Je,
ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa?
au itakua ni aibu zaidi, kwamba ufirauni ni haki kama ambavyo iko huko kwa mabwenyenye wanaowafadhili baadhi ya vibaraka wao wanaogombea uongozi kwenye uchaguzi huu muhimu wa chadema ngazi ya Taifa?
kama mdau wa siasa,
unadhani hawa wagombea uongozi wa chadema taifa ,wamejiandaa kupambana na hiyo fedheha, ukiwatizama hata kwa sura zao tu?๐
Mungu Ibariki Tanzania.
CCM iliyopo nadarakani, imepambana vipi kutokomeza ushoga na usagaji hadi sasa?? Tuanzie kwanza hapoMaana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla..