Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
so,Hao vijana walijiunga chadema wakiwa na miaka 3? Si wamejiunga wakiwa watu wazima?
Means walienda na hizo tabia zao so no one can change them
Makosa yalifanyika kwenye familia zao, sasa unataka chadema waseme kitu gani?
Kwani mwenyekiti wa ccm alisema kitu gani au ana utaratibu gani Kwa watu wa Aina hiyo ambao wapo ccm?
wagombea uongozi wa chadema Taifa hawana mikakati yoyote kuwasaidia hao vijanaa, right?
au na wao wanashiriki ufirauni huo na ni watetezi wa ufirauni?🐒