Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.

Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.

Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.

Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
 
Hata hao ng’ombe mbuzi na kuku unaokula wanakula vichafu.

By the way unaweza kuotesha mchicha nyumbani kwenye basin chakavu unaweka udongo na mbolea kidogo.
Wewe kukaa ulaya ndio unadhania kila mtu anabasin la kulimia mboga? Tumia akili. Dar 90% ni uswahilini
 
Mboga mboga za bonde la mto msimbazi zinamwagiliwa maji machafu sn,bonde la oystebay wale wamama walienda ubalozi wa Marekani kuomba wajengewe miundombinu ya umwagiliaji wakasaidiwa,now wameacha kumwagilia mboga na Ile mimaji michafuPongezi kwao na pongezi zaidi ziwaendee ubalozi Kwa kuwasaidia

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
C85F0582-0004-40C4-A98B-1D36DC8B8B53.jpeg

Potelea pote kwani nikimeza kinarudi 😋
 
Wewe samadi unaielewaJe ?. Je kuku wako wa Igunga unaojivunia siyo wala mavi makavu ?!
Samadi inayokubalika ni kutokanana na kinyesi cha mifugo sio cha binadamu kinachoeneza magonjwa. Tumia akili jaluo, utapata kipindupindu bure. Pole kwa kukaa Dar.
 
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.

Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.

Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.

Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?

Siyo tu maji machafu, na wanaolima mbogamboga kutumia mbolea/kinyesi cha nguruwe, kamanda ushayaona mavi ya nguruwe na harufu yake kali, yananuka vibaya mno.... Ya binadamu yakasome 😂.

Wanaotumia kinyesi cha nguruwe waache haraka
 
Siyo tu maji machafu, na wanaolima mbogamboga kutumia mbolea/kinyesi cha nguruwe, kamanda ushayaona mavi ya nguruwe na harufu yake kali, yananuka vibaya mno.... Ya binadamu yakasome 😂.

Wanaotumia kinyesi cha nguruwe waache haraka
 
Hata hao ng’ombe mbuzi na kuku unaokula wanakula vichafu.

By the way unaweza kuotesha mchicha nyumbani kwenye basin chakavu unaweka udongo na mbolea kidogo.
Waswahili walivyo wavivu. Mtu anashindwa hata kukwetuakwetua tunyasi pembeni ya nyumba yake, sembuse eti kupanda mchicha?
 
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.

Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.

Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.

Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Ccm ndiyo imewafikisha hapo
 
Back
Top Bottom