Sawasawa..Hata hao ng’ombe mbuzi na kuku unaokula wanakula vichafu.
By the way unaweza kuotesha mchicha nyumbani kwenye basin chakavu unaweka udongo na mbolea kidogo.
Wewe kukaa ulaya ndio unadhania kila mtu anabasin la kulimia mboga? Tumia akili. Dar 90% ni uswahiliniHata hao ng’ombe mbuzi na kuku unaokula wanakula vichafu.
By the way unaweza kuotesha mchicha nyumbani kwenye basin chakavu unaweka udongo na mbolea kidogo.
Wewe samadi unaielewaJe ?. Je kuku wako wa Igunga unaojivunia siyo wala mavi makavu ?!Mboga zenye afya. Sio zenye kinyesi.
Tofautisha mbolea inayowekwa ardhini na mbolea kumwagiliwa kwenye mboga zilizokwisha kuwa kubwa na zilizo tayari kutumiwa.Kinyesi ni mbolea
Nchi nyingi zinatumia mbolea ya binadamu kwenye kilimo...
Wewe upeo mdogo
Samadi inayokubalika ni kutokanana na kinyesi cha mifugo sio cha binadamu kinachoeneza magonjwa. Tumia akili jaluo, utapata kipindupindu bure. Pole kwa kukaa Dar.Wewe samadi unaielewaJe ?. Je kuku wako wa Igunga unaojivunia siyo wala mavi makavu ?!
Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.
Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Waswahili walivyo wavivu. Mtu anashindwa hata kukwetuakwetua tunyasi pembeni ya nyumba yake, sembuse eti kupanda mchicha?Hata hao ng’ombe mbuzi na kuku unaokula wanakula vichafu.
By the way unaweza kuotesha mchicha nyumbani kwenye basin chakavu unaweka udongo na mbolea kidogo.
Ccm ndiyo imewafikisha hapoMnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.