Igunga barabara moja...Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.
Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Sijamlamba mtu katikati ya makalio kitambo!!!..umenikumbusha mbaliKinyaa umeona kwenye mboga tu lakjni kwenye mambo yetu ya faragha mbona watu wananyonya na kulamba pasipo kutapika pamoja na kuwepo kwa fangasi
vipiDuh!
Mkuu yale ni maji yaliyo pitia kwa kinyesi! yakachujwa ardhini kinyesi chini maji juu! wkt yana safiri! ila siyo kinyesi kile, km unavosema weye! hao waalimu wa upe walikudanganya sana!!Mboga zenye afya. Sio zenye kinyesi.
Maweee!! vitoweo kibao mvitoe wapi?? DSM ndo kuna kila kitoweo wewe!! kutoka kila Mkoa kutoka kila nchi Duniani! vinakuja na Meli, Ndege! Train! Malori ndo usiseme, Mabasi hiviiii!! sasa kwani uongo??Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Kinyesi chako chenyewe mboleaMnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao.
Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi.
Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama kicholombwezo.
Watu wa Dar hamuoni kinyaa kula kinyesi na uchafu?
Ukimchunguza kuku sana hutamla, nyuki nao wanatengeneza asali tamu ila laiti wangeonwa ni wapi wanachukua nta kutengenezea masega hiyo asali hakuna angependa kuilaWewe ulisoma Sesesco nini ?! [emoji102]
Kiufupi kinyesi hakina shida kabisa kwani hubadilishwa na kuwa kirutubisho kwa mmea, tatizo kubwa ni chemical na ambazo zinatumaliza huku mikoani. Unakuta mtu anapiga dawa ya kuogeshea ng'ombe kwenye kabeji yaani mdudu hagusi, alafu ndo sisi raia tunakula.Kinyesi ni mbolea
Nchi nyingi zinatumia mbolea ya binadamu kwenye kilimo...
Wewe upeo mdogo
sema tu unataka kuja dar, ha ha ,upaone maana hujawahi fikaMboga zenye afya. Sio zenye kinyesi.
Central route hiyo atakua mburushi anajihusisha na magerejiIgunga barabara moja...
Yule Shifter Msomali bado yuko
Huo mchicha ukipanda home uswahilini ndio sasa kila mpita njia atakojolea.kwa hio tukubali tu kinyesi mkojo vyote mbolea.tuoshe vizuri tu tule.Waswahili walivyo wavivu. Mtu anashindwa hata kukwetuakwetua tunyasi pembeni ya nyumba yake, sembuse eti kupanda mchicha?