Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

Ulishawahi kuskia mchicha mwiba??
Au mchicha wa nyuma ya nyumba???
Km bado nitafute mtoa mada nikueleweshe wala usije kw jazba
 
Hawana alternative, inawabidi wale hivyo hivyo
 
Ukitaka kumla bata usimchunguze.

Acha mboga ziliwe
 
Ina maana hujuwi kama kinyesi a.k.a mboji ni kichocheo cha ustawi wa mimea mkuu?
 
Una takwimu za kuthibitisha hili ni tatizo?
 
Sound like your stupid
 
Mboga za majani salama ni zile ulizolima mwenyewe.Na sio hizi za maji taka na moshi wa magari.
Eti mboga za majani chungu kama kwinini sababu ya madawa inapigwa dawa jioni asubui inachumwa mfanyabiashara anajali pesa yako na sio afya yako.
 
Muda mfupi miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…