Hivi wakenya wanajua wanapoelekea

Hivi wakenya wanajua wanapoelekea

Calyx24

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
213
Reaction score
292
59969dd4e692b9d7e33ae8fde71e5a0e.jpg

si dhani kama raila Odinga alikuwa na haja ya kujiapisha kama raisi wa watu ila nadhani kuwa anchokifanya raila ni uchochezi wa ghasia sijui wanaelekea wapi wakenya
 
wana uhuru na demokrasia... wanaweza fanya chochote wakati wowote wakipenda... ni nchi huru... waacheni na nchi yao msiwaonee wivu na kujifanya mna jua sana kuchambua vya watu...
 
nchi yenu ina shida na hamja weza zitatua, mtaweza tatua za wenzenu... una taka toa kibanzi ktika jicho la mwenzio wakati jicho lako lina bolt...
 
Watanzania bhana,yaani ya kwao hawayasemi ila wamerukia ya uhuru.

Ongeleeni kwanza ya uchwara na mwelekeo wake ndiyo muende jirani
 
Watanzania bhana,yaani ya kwao hawayasemi ila wamerukia ya uhuru.

Ongeleeni kwanza ya uchwara na mwelekeo wake ndiyo muende jirani
hapa ndipo walitakiwa wapambane... wenzao wana pambana na yao... hawapambani na yajirani... ndio maana wana angaikia kutafuta wanacho ona wana stahili kukipata...
 
Wale ni jiran zetu msiwaombe wapigane coz ss wa boda tutarukiwa na dam
hata katika interest za utaifa hatuendi au hawaendi kwasababu ya jirani... ndio maana ktk baadhi ya maazimio baadhi walienda kama wao na wakaweka pembeni EAC... walitanguliza vipaumbele vyao kwanza alafu vya wengine baadae...

hawa ndio jirani zako... kila mtu ni wakati wa kuangalia vyake... ujamaa ni kitu kibaya sana, mimi kwangu ujamaa ni alama ya umasikini...!
 
Umesema kweli kabisa juu ya ujamaa!
Ujamaa ni umaskini paseee
 
Kwani Odinga akiwa rais wa watu na Kenyatta akawa rais wa nchi kuna shida gani, tena marais wawili tu!

Mbona bongo marais kibao na hawazurianiani!
Rais wa nchi, rais wa manzese, rais wa mashobaro, rais wa was a wasafi,rais wa wanasheria,. Bongo hata wewe unaweza kuwa rais na marais wengine wasione shida.
Kenya waache wivu, waige bongo, wakubali mfumo wa marais wengi.just jock!
 
Back
Top Bottom