miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Kwa jinsi unavyojitetea mwanaume ni lazima akuhudumie vizuri ila sasa mpunguze nakisi za bajet zenu za matumizi maana mnategemea fedha za wahisani.
Sawa kupunguza may be
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi unavyojitetea mwanaume ni lazima akuhudumie vizuri ila sasa mpunguze nakisi za bajet zenu za matumizi maana mnategemea fedha za wahisani.
Sawa kupunguza may be
bahili ni bahili just vocha ndo ukaja tangaza hapa? aiseee achen wazee wale kilichoiva kwa raha zao hawa under age ni sheeeeeedawakuu habari zebu nyote .. Mi nashndwa kuelewa kabisa hawa waubavu wetu...huyu girl jana tu ameniambia mi Niki nakupenda sana yaani niko tayari hata kubadili dini ili tu niolewe na wewe. Leo hii unaniambia umeishiwa msg unataka nikutumie vocha .. Damn mi sio mzazi wake asee tenaa bado sijamuweka ndani .ashaanza mashambulizi .. Nahitaji msaada wenu wana jamvi ..Ivi kuna upendo wa aina hii.. Je ndivo walivyoumbiwa na Muumba au ubishoo tu.. DAAAH nishaurini nifanyeje wakuu ..
wote ni watoto tu! mwanamke hawezi kuomba pesa ya vocha kwa hawara wa sku mbili, ni dalili ya kuwa darn cheap...vocha?!! wanaoombana vocha ni wanafunzi na vinyamkera vya mtaani visivyo na mbele wala nyuma, labda kama ni dharula mtu yuko mbali na sehem wanayoweza kunnua vocha, siyo kuomba vocha kwa maana ya kwamba hana pesa ya kununua halafu na wewe unajisemea una mchumba, si bora uende kuowa kijijini mtoto aliyemaliza la saba kieleweke, huyo asiyeweza kujinunulia vocha atakusaidia mawazo gani katika maisha, mwanamke wa kweli yuko independent, akipiga kibomu ni kwamba kweli amekwama kwenye jambo la maana anahitaji umng'oe, sasa vocha ndugu yangu...loh!
Mmeombwa vocha mnatoka mapovu mkiombwa galaxy itakuaje
Ntaandika makala kabisa
sawa kaka muhongaji......Mimi sipo huko na kama unataka nikuhonge sema tena mi nahonga hata kama sijakuona kwa sura.
bahili ni bahili just vocha ndo ukaja tangaza hapa? aiseee achen wazee wale kilichoiva kwa raha zao hawa under age ni sheeeeeeda
eeeh mademu maskini piga chini eti sina nauli ya kuja hapo au sina vocha hiyo haifai kama anapiga mzinga atleast kwanzia elfu 30 laki laki 3 5 au siyo
Mshike sana Mungu
Ww ngoja! nitakusemea kwa bibi!
Mkuu CYBERTEQ umetoa point ambayo ni shule tosha kwa wanawake wa jf.
Hebu fikiria mtu umekutana nae labda miezi miwili tangu mtongozane halafu aanze kutegemea vocha kila siku kutoka kwako, mtu unajiuliza kabla ya yeye kukutana na wewe nani alikuwa anampa hizo vocha.
mh!naisi atakimbilia polisi kulipoti.Ntaandika makala kabisa
Atakimbilia polisi kujisalimisha.Mmeombwa vocha mnatoka mapovu mkiombwa galaxy itakuaje