Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

wakuu habari zebu nyote .. Mi nashndwa kuelewa kabisa hawa waubavu wetu...huyu girl jana tu ameniambia mi Niki nakupenda sana yaani niko tayari hata kubadili dini ili tu niolewe na wewe. Leo hii unaniambia umeishiwa msg unataka nikutumie vocha .. Damn mi sio mzazi wake asee tenaa bado sijamuweka ndani .ashaanza mashambulizi .. Nahitaji msaada wenu wana jamvi ..Ivi kuna upendo wa aina hii.. Je ndivo walivyoumbiwa na Muumba au ubishoo tu.. DAAAH nishaurini nifanyeje wakuu ..
bahili ni bahili just vocha ndo ukaja tangaza hapa? aiseee achen wazee wale kilichoiva kwa raha zao hawa under age ni sheeeeeeda
 
wote ni watoto tu! mwanamke hawezi kuomba pesa ya vocha kwa hawara wa sku mbili, ni dalili ya kuwa darn cheap...vocha?!! wanaoombana vocha ni wanafunzi na vinyamkera vya mtaani visivyo na mbele wala nyuma, labda kama ni dharula mtu yuko mbali na sehem wanayoweza kunnua vocha, siyo kuomba vocha kwa maana ya kwamba hana pesa ya kununua halafu na wewe unajisemea una mchumba, si bora uende kuowa kijijini mtoto aliyemaliza la saba kieleweke, huyo asiyeweza kujinunulia vocha atakusaidia mawazo gani katika maisha, mwanamke wa kweli yuko independent, akipiga kibomu ni kwamba kweli amekwama kwenye jambo la maana anahitaji umng'oe, sasa vocha ndugu yangu...loh!

eeeh mademu maskini piga chini eti sina nauli ya kuja hapo au sina vocha hiyo haifai kama anapiga mzinga atleast kwanzia elfu 30 laki laki 3 5 au siyo
 
Mkuu CYBERTEQ umetoa point ambayo ni shule tosha kwa wanawake wa jf.
Hebu fikiria mtu umekutana nae labda miezi miwili tangu mtongozane halafu aanze kutegemea vocha kila siku kutoka kwako, mtu unajiuliza kabla ya yeye kukutana na wewe nani alikuwa anampa hizo vocha.
 
Last edited by a moderator:
Yaani ni matatizo, vocha hivyo je ikiwa anakuomba umnunulie pichu ya 10,000 itakuwaje? Heheheee ngoja nicheke kwa kejeli

bahili ni bahili just vocha ndo ukaja tangaza hapa? aiseee achen wazee wale kilichoiva kwa raha zao hawa under age ni sheeeeeeda
 
Ikiwa hiyo 1000 umelalamika ndio hiyo laki utaiweza... SIFA ZA KIJINGA..mnapenda kulelewa mademu zenu nyie, wakiliwa msilalamike tuliaaa

eeeh mademu maskini piga chini eti sina nauli ya kuja hapo au sina vocha hiyo haifai kama anapiga mzinga atleast kwanzia elfu 30 laki laki 3 5 au siyo
 
Eti, "baba, naomba vocha niwasiliane na bwana angu!" Thubutu!
Si una mpenda? mhudumie, kwani kitu gani sh ngap!
 
Mkuu CYBERTEQ umetoa point ambayo ni shule tosha kwa wanawake wa jf.
Hebu fikiria mtu umekutana nae labda miezi miwili tangu mtongozane halafu aanze kutegemea vocha kila siku kutoka kwako, mtu unajiuliza kabla ya yeye kukutana na wewe nani alikuwa anampa hizo vocha.

Alikuwa single so alikuwa hachati kiulazima na mtu yeyote ie mtu akimtext anaweza akampotezea tu coz sio baby ake. Sasa wewe hutaki kumtumia vocha but still ukimtext unataka akujibu eeeh. Si umpe tu hiyo vocha jamani, mwingine anahitaji vocha kweli na sio kwamba anakupiga mizinga. Watu tunatofautiana
 
Last edited by a moderator:
Mm ningemuomba hata kichwa chake nimhudumie salon mwanaune kuhonga bwana!!
 
Back
Top Bottom