Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

bahili ni bahili just vocha ndo ukaja tangaza hapa? aiseee achen wazee wale kilichoiva kwa raha zao hawa under age ni sheeeeeeda
 

eeeh mademu maskini piga chini eti sina nauli ya kuja hapo au sina vocha hiyo haifai kama anapiga mzinga atleast kwanzia elfu 30 laki laki 3 5 au siyo
 
Mkuu CYBERTEQ umetoa point ambayo ni shule tosha kwa wanawake wa jf.
Hebu fikiria mtu umekutana nae labda miezi miwili tangu mtongozane halafu aanze kutegemea vocha kila siku kutoka kwako, mtu unajiuliza kabla ya yeye kukutana na wewe nani alikuwa anampa hizo vocha.
 
Last edited by a moderator:
mmoja tu unahema hivyo ukiongeza wa pili wa tatu akyanani utaanza kuongea mwenyewe
 
Yaani ni matatizo, vocha hivyo je ikiwa anakuomba umnunulie pichu ya 10,000 itakuwaje? Heheheee ngoja nicheke kwa kejeli


bahili ni bahili just vocha ndo ukaja tangaza hapa? aiseee achen wazee wale kilichoiva kwa raha zao hawa under age ni sheeeeeeda
 
Ikiwa hiyo 1000 umelalamika ndio hiyo laki utaiweza... SIFA ZA KIJINGA..mnapenda kulelewa mademu zenu nyie, wakiliwa msilalamike tuliaaa


eeeh mademu maskini piga chini eti sina nauli ya kuja hapo au sina vocha hiyo haifai kama anapiga mzinga atleast kwanzia elfu 30 laki laki 3 5 au siyo
 
Eti, "baba, naomba vocha niwasiliane na bwana angu!" Thubutu!
Si una mpenda? mhudumie, kwani kitu gani sh ngap!
 

Alikuwa single so alikuwa hachati kiulazima na mtu yeyote ie mtu akimtext anaweza akampotezea tu coz sio baby ake. Sasa wewe hutaki kumtumia vocha but still ukimtext unataka akujibu eeeh. Si umpe tu hiyo vocha jamani, mwingine anahitaji vocha kweli na sio kwamba anakupiga mizinga. Watu tunatofautiana
 
Last edited by a moderator:
Mm ningemuomba hata kichwa chake nimhudumie salon mwanaune kuhonga bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…