Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wakuu habari zenu nyote.

Mi nashindwa kuelewa kabisa hawa waubavu wetu, huyu girl jana tu ameniambia mi Niki nakupenda sana yaani niko tayari hata kubadili dini ili tu niolewe na wewe.

Leo hii unaniambia umeishiwa message unataka nikutumie vocha.

Damn mi sio mzazi wake asee tenaa bado sijamuweka ndani ashaanza mashambulizi.

Nahitaji msaada wenu wana jamvi ivi kuna upendo wa aina hii?
Je ndivo walivyoumbiwa na Muumba au ubishoo tu?

Nishaurini nifanyeje wakuu.
 
Back
Top Bottom