Hivi wakristo wanaokula nguruwe wanaruhusiwa kuwachangia damu waislamu

😅😅Ishu si kula kwani nu damu ya nguruwe ...Mbona wakristo wengi tu hawali
 
Ungerekebisha kidogo swali lako, kwanini umeamuwa kuwa "single out" Waislam pekee? Wakristo wengi hawali nguruwe. Wayahudi pia hawali kabisa.

Uislam haukatazi kuchangia au kuchangiwa damu na yeyote mradi hiyo damu ipo salama.
Na ccm wanaweza kituchangia damu maana matendo Yao tunaogopa
 
hawaruhusiwi ilatwaislamu wenzao wanaokula nguruwe wanaruhusima kuwachangia damu. (Ikumbukwe 47% ya wateja wa kitimoto ni wavaa madela meupe na vibalagashea)

Madela hata ma padri na Maaskofu wanavaa na barakashia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…