PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wanaruhusiwa kula hadi FisimNa nani? Ujasikia ukowa na hali ngumu hata kitimoto muislam anaruhusiwa kula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaruhusiwa kula hadi FisimNa nani? Ujasikia ukowa na hali ngumu hata kitimoto muislam anaruhusiwa kula?
Sio damu tu, hata figo ruksa.Nilikuwa nawaza tu hapa,
Katazo la kula nguruwe kwenye uislamu lipo kisiasa mno!
Kama hakuna namna kabisa ruksa kula.
Madela hata ma padri na Maaskofu wanavaa na barakashia
Hakuna tatizo kwani mtoa damu hawezi kusema anakula kitimoto na hata watoaji hawaulizi kama unakula kitimoto. Vyakula ni Kwa nje tu, ndani ya mwili havitambuliki.Nilikuwa nawaza tu hapa,
Ila wanawaongoza na mnakubali wanawaletea teknolojia mnaipokea hadi kuwalawiti wanawalawiti n amnakata viuno safi kabisa😂😂😂Haturuhisiwi hata kutumia vitu vya makafir. Hata kushare au kununua vitu walivyounda wao.
Ukiwa hutaki damu ya mkristo basi ufe tu?!Nilikuwa nawaza tu hapa,
astaghafilulah... sheikh mswalie mtumeIla wanawaongoza na mnakubali wanawaletea teknolojia mnaipokea hadi kuwalawiti wanawalawiti n amnakata viuno safi kabisa😂😂😂
Sio Mungu tena nimswalie yule yule mudi madem dah MUNGU atawanyoosha nyieastaghafilulah... sheikh mswalie mtume
Je na waislam wanaokula nyama ya ngamia wanaruhusiwa kuwachangia damu wakristo?Nilikuwa nawaza tu hapa,
Kinachofanya asiruhusiwe kula wakati wote ni nn kama ikiwa hakuna chakula kingine anaruhusiwa? Wewe unaona kuna mantiki kweli hapa? Kile kinamfanya asile kinaweza kumfanya ale nyakati fulani fulani? Hahaa hapa ndipo usanii wa dini uliko.Muislamu kakatazwa kula nguruwe kama vyakula vyote vipi,ila kama ana njaa na chakula pekee kilichobaki ni kitimoto anaruhusiwa kula bila shaka.
Kinachofanya asiruhusiwe kula wakati wote ni nn kama ikiwa hakuna chakula kingine anaruhusiwa? Wewe unaona kuna mantiki kweli hapa? Kile kinamfanya asile kinaweza kumfanya ale nyakati fulani fulani? Hahaa hapa ndipo usanii wa dini uliko.
Hii ni dini ya mchongo kweli. Haurusiwi kula nguruwe kwasbb ni dhambi ila km hakuna chakula kingine ,kuna nguruwe tu ruksa kulaMuislamu kakatazwa kula nguruwe kama vyakula vyote vipi,ila kama ana njaa na chakula pekee kilichobaki ni kitimoto anaruhusiwa kula bila shaka.
Hii ni dini ya mchongo kweli. Haurusiwi kula nguruwe kwasbb ni dhambi ila km hakuna chakula kuna nguruwe tu ruksa kula
Hapo sijaelewa aisee
Kwanini kipindi cha Ramadhan mauzo ya kitimoto hupungua?Madela hata ma padri na Maaskofu wanavaa na barakashia
Dini ya Mnyazi Mungu ipo safi inanyumbuka...Katazo la kula nguruwe kwenye uislamu lipo kisiasa mno!
Kama hakuna namna kabisa ruksa kula.
Ukiongezewa damu haiathiri DNA yako, DNA yako inabadilika wakati wa random assortment ya genes wakati wa uzalianaji, au kwa kutumia mutagensNimeshawaza sana swala la kuongezewa Damu. Naomba nisije pata hiyo dhahama maishani. Damu ina DNA ya mtu means ukiongezewa Damu uneongezewa dna. Sasa najiuliza nikiongezewa damu ya mtu ana Tabia za ajabu, mchawi, jambazi, shoga au tabia zingine zenye utata inakuwaje?
Achana na kula nguruwe na kuvuta bangi hizo tabia nyingine je nitakuwa salama? Kuongezwa damu kwangu ni mada pana sana….