Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Wapo mademu wa hivi mpaka Sasa utakuta anakuambia Sina simuHayo yamepitwa na wakati.. watoto wa mjini siku hizi namba wanakupa, kurespond sms na hizo calls zako sasa ndio changamoto uanzia 😁
Nielekeze legend kwamba hanitakiMbona hyo iko wazi
Maelekezo yako coment namba #6 mkuuNielekeze legend kwamba hanitaki
Cha ajabu unakuta demu anakuambia Hana simu halafu anakushobokea hii imekaaje aiseeKwenye mpira hapo ni sawa na kupewa red card...yaani kaa naye mbali hataki mazoea.
Unakuta demu anakuambia Hana simu halafu baadae anakushobokeaMaelekezo yako coment namba #6 mkuu
Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
Acha woga. Rudi kwenye default mode.Cha ajabu unakuta demu anakuambia Hana simu halafu anakushobokea hii imekaaje aisee
Gentleman,Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana