Hivi wakuu demu ukimuomba namba alisema Hana simu inamaana ndio hakutaki au

Hivi wakuu demu ukimuomba namba alisema Hana simu inamaana ndio hakutaki au

Hayo yamepitwa na wakati.. watoto wa mjini siku hizi namba wanakupa, kurespond sms na hizo calls zako sasa ndio changamoto uanzia 😁
Unaishia kuangalia status za biashara ya mikoba,
 
Jifunze kutongoza wanawake wanaojielewa ndugu..
Hizo pigo za sina simu ni za mademu flani ambao huwa hawana akili.
 
Anakuingiza kwenye mfumo ili umpe hela ya kununulia simu ukimpa mkwanja anasunda anakupa namba ya simu yake sa
Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
 
Usipende kupoteza muda kwenye vitu vya kijinga
 
Back
Top Bottom