Hivi wakuu demu ukimuomba namba alisema Hana simu inamaana ndio hakutaki au

Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
Anamaanisha hana simu umnunulie na vocha uwe unamuwekea au
Umpe simu yako halafu wewe uwe unampigia yeye kwenye hiyo simu yako
 
We komaa mkuu hakuna ktu rahisi dunian hata jogoo huwa anamkimbza tetea mji mzma ndo anapewa K we hujfunz hapo, msake mpgshe vistori usiombe namba, msake tn mpgshe vistori na viwe vina logic yan hakiksha una ktu cha maana cha kumwambia kila unapokutana naye ili awe anakumiss at last namba utapewa na wkt huo unakuwa umeshamlainisha khs kupewa mzgo utajilia vyake, watu tunakula mpk wake za watu kiulainiiii..
 
Hayo yamepitwa na wakati.. watoto wa mjini siku hizi namba wanakupa, kurespond sms na hizo calls zako sasa ndio changamoto uanzia 😁
Nipe number yako ya simu... Jibu kama uliyevurugwa...
 
Approaching, ukishakosea hapo the way you open up kuambiwa sina simu huwa ni kawaida labda uwe na kamuonekano ka hela
 
Approaching, ukishakosea hapo the way you open up kuambiwa sina simu huwa ni kawaida labda uwe na kamuonekano ka hela
Mwingine anakupa alafu hakujibu ukimtafuta, mimi huwa nikipewa no naipiga hapo hapo aipate yangu alafu natulia siku mbili asiponichek namcheki japo mara nyingi huwa wananicheki.
 
Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
Namba haiombwi ina nunuliwa bro!
 
Dah ali kuhurumia tu, maana nyie kina haji manara hamchelewi kusema mna baguliwa.
 
Namba ya nini, muambie tu unachotaka kisha uendelee na yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…