Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
Nenda JelaDaaah oya acha tuu an mi nikiwaza hapa et chakula 2k na sishibi hata kidogo nawaza sana
Ugali bure na uliinzi unapewa
Nenda JelaDaaah oya acha tuu an mi nikiwaza hapa et chakula 2k na sishibi hata kidogo nawaza sana
😄We jamaa id yako inanikeraga sana..
Hvi uwezi badiri hiyo picha mkuu
Alhamdulilah 😁sie wengine tuko kwenye Alhamdulillah phase
Tanganian anaangua kicheko tu kwasababu yupo kwenye neema anakula keki tu.Yani hata sina cha kuandika wakuu.
Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso.
☹️ Aiseee
Fuaala wewe😁😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
View attachment 3459037
We jamaa jau ana 😂😂😂😂🫵🫵🫵
Nitatoa mkuuWe jamaa jau ana 😂😂😂😂🫵🫵🫵
Mtu unajiita poor brain?Daaah oya acha tuu an mi nikiwaza hapa et chakula 2k na sishibi hata kidogo nawaza sana
Yani hata sina cha kuandika wakuu.
Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso.
☹️ Aiseee