Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

Brain Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
7,002
Reaction score
14,570
Hello family,

Ushishangae ya Musa wakati ya Filauni yapo, nilishikwa na butwaa mwaka 2015-2017 nilivoona lundo la mbilikimo California na Michigan huko Marekani,
Nilijiuliza sana huu ni uzao wa batwa wa Zaire au ni cross breeds za maabara.

Marekani kuna andunje sikuamini Ila ndio hivo wapo wengi sana.

Anaejua asili ya maandunje au mbilikimo wa kimarekani atujuze.

Dunia maajabu kila kona

Wadiz
 
Huyu jamaa maarufu sana
Peter-Dinklage-publicity-shot-2012.jpg
 
Back
Top Bottom