HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
AiseeeKuna vi-mbilikimo vina chura balaa[emoji39]View attachment 2592511
AiseeeKuna vi-mbilikimo vina chura balaa[emoji39]View attachment 2592511
Acha masikhara unatokea wap DALALI MKUUAsee napajua vizuri sana, mokala yote
Tumezaliwa majemba matano. Sebuleni zinapishana Osama tu.Au hutaki mashemeji😀 kuna watu wanaitemea mate kataa ushemeji nao😀 siwataj majina yao
Sioni vizuri au sijui kusoma.Lyakundu ndio home hapo. 🙃
Una ufala mwingi Lloyd Munroe 🤣🤣🤣😅Sioni vizuri au sijui kusoma.
Kwetu tumezaliwa wanaume wanne. Ila nilitaman sana ningekuw na dada tunazinguana sana. Sasa hapa tubadilishan mabinamu😀Tumezaliwa majemba matano. Sebuleni zinapishana Osama tu.
Wachaga majina yenu kutamka kwenye watu wengi inabidi baadhi ya Herufi uziminye kama sio kuziruka.Una ufala mwingi Lloyd Munroe 🤣🤣🤣😅
Mizozo kawaida sana mbona.Kwetu tumezaliwa wanaume wanne. Ila nilitaman sana ningekuw na dada tunazinguana sana. Sasa hapa tubadilishan mabinamu😀
Mdogo wangu anayenifata hajawah kukubali chochote nachosema😀 anayefatia tunaelewana ila siku hizi ameungana na anayenifatia kuniletea zongwa. Na wa mwisho kavu sana ila tunaelewana piaMizozo kawaida sana mbona.
Me ilikuwa haikati wiki sjakabwa koo na moja ya wandewa.
Kauzu fc hao.Mdogo wangu anayenifata hajawah kukubali chochote nachosema😀 anayefatia tunaelewana ila siku hizi ameungana na anayenifatia kuniletea zongwa. Na wa mwisho kavu sana ila tunaelewana pia
Mahaa,mokala Kwa diwan lasway ambaye yupo kiliwater, Kwa festo tumbo tele kilawe wote Marafiki zangu.Acha masikhara unatokea wap DALALI MKUU
Umefika shule ya mahaa?
Diwani wa CHADEMA Ben unamjua😀 Nadhan alifariki mwaka juzi kwa Korina sijui anayekaimu nani sasa. Kweli umetembea unajua mitaa ya nyumbani vizuri.Mahaa,mokala Kwa diwan lasway ambaye yupo kiliwater, Kwa festo tumbo tele kilawe wote Marafiki zangu.
Hata mtoto wa mama mkombozi anaitwa Gilbert tarimo Ambaye kwasasa ndio diwan wale wote jamaa zangu.
Mm kwetu machame ila nimekaa sana Rombo na ninaijua vizuri sana.
OCD Yule wa zaman Ralph meela ni family friend.
Basili mramba na selasin Walikuwa Marafiki zangu wakubwa mno.
Mengine nitafungua code watu watanijua sana maana nimefanya Kaz za hatari sana hapo Rombo Mkuu,holili na mashati kipindi hicho sikuwa na masihara kabisa.
Wadau utawajua tu[emoji1787]Kwanini wasiwepo,na hao wanaitwa
Midget
Ova
Benito ngowi alikuwa pia wakala wa mabus ya nwigulu nchemba.Diwani wa CHADEMA Ben unamjua😀 Nadhan alifariki mwaka juzi kwa Korina sijui anayekaimu nani sasa. Kweli umetembea unajua mitaa ya nyumbani vizuri.
Huwa hawazaliwi, wanatotolewa baada ya mayai ya ndugai kutamiwaHello family,
Ushishangae ya Musa wakati ya Filauni yapo, nilishikwa na butwaa mwaka 2015-2017 nilivoona lundo la mbilikimo California na Michigan huko Marekani,
Nilijiuliza sana huu ni uzao wa batwa wa Zaire au ni cross breeds za maabara.
Marekani kuna andunje sikuamini Ila ndio hivo wapo wengi sana.
Anaejua asili ya maandunje au mbilikimo wa kimarekani atujuze.
Dunia maajabu kila kona
Wadiz
Diwani wa Ubaha. Sasa yule jamaa ni baba yangu 🙂Bernadine Ngowi alijiita Benito Ngowi. .Benito ngowi alikuwa pia wakala wa mabus ya nwigulu nchemba.
Nilisikia alifariki MC yule asee niliumia sana sana.
Diwan wa ushiri ikuin
Aisee pale Kwa idosi aliniwekea offer nying sana ni kweli n ubaa ushiri n mbele kidogoDiwani wa Ubaha. Sasa yule jamaa ni baba yangu 🙂Bernadine Ngowi alijiita Benito Ngowi. .
Msiba wa simanzi kubwa huwa namkumbuka sana. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. .
ndo hivyo aisee. Mshua alikuw ananikubal mbaya. Mke wake sasa CHADEMA wanamfaid kinyam 😔Aisee pale Kwa idosi aliniwekea offer nying sana ni kweli n ubaa ushiri n mbele kidogo