Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

Kwetu tumezaliwa wanaume wanne. Ila nilitaman sana ningekuw na dada tunazinguana sana. Sasa hapa tubadilishan mabinamu😀
Mizozo kawaida sana mbona.
Me ilikuwa haikati wiki sjakabwa koo na moja ya wandewa.
 
Mdogo wangu anayenifata hajawah kukubali chochote nachosema😀 anayefatia tunaelewana ila siku hizi ameungana na anayenifatia kuniletea zongwa. Na wa mwisho kavu sana ila tunaelewana pia
 
Kauzu fc hao.
Wakina saga na msala wanajua nani ni kaka
 
Acha masikhara unatokea wap DALALI MKUU
Umefika shule ya mahaa?
Mahaa,mokala Kwa diwan lasway ambaye yupo kiliwater, Kwa festo tumbo tele kilawe wote Marafiki zangu.
Hata mtoto wa mama mkombozi anaitwa Gilbert tarimo Ambaye kwasasa ndio diwan wale wote jamaa zangu.

Mm kwetu machame ila nimekaa sana Rombo na ninaijua vizuri sana.

OCD Yule wa zaman Ralph meela ni family friend.

Basili mramba na selasin Walikuwa Marafiki zangu wakubwa mno.

Mengine nitafungua code watu watanijua sana maana nimefanya Kaz za hatari sana hapo Rombo Mkuu,holili na mashati kipindi hicho sikuwa na masihara kabisa.
 
Diwani wa CHADEMA Ben unamjua😀 Nadhan alifariki mwaka juzi kwa Korina sijui anayekaimu nani sasa. Kweli umetembea unajua mitaa ya nyumbani vizuri.
 
Benito ngowi alikuwa pia wakala wa mabus ya nwigulu nchemba.

Nilisikia alifariki MC yule asee niliumia sana sana.

Diwan wa ushiri ikuin
 
Mwenye picha ya mke wa T.I aweke hapa tafadhali. Kafupi sana aisee
 
Hello family,

Ushishangae ya Musa wakati ya Filauni yapo, nilishikwa na butwaa mwaka 2015-2017 nilivoona lundo la mbilikimo California na Michigan huko Marekani,
Nilijiuliza sana huu ni uzao wa batwa wa Zaire au ni cross breeds za maabara.

Marekani kuna andunje sikuamini Ila ndio hivo wapo wengi sana.

Anaejua asili ya maandunje au mbilikimo wa kimarekani atujuze.

Dunia maajabu kila kona

Wadiz
Huwa hawazaliwi, wanatotolewa baada ya mayai ya ndugai kutamiwa
 
Benito ngowi alikuwa pia wakala wa mabus ya nwigulu nchemba.

Nilisikia alifariki MC yule asee niliumia sana sana.

Diwan wa ushiri ikuin
Diwani wa Ubaha. Sasa yule jamaa ni baba yangu 🙂Bernadine Ngowi alijiita Benito Ngowi. .

Msiba wa simanzi kubwa huwa namkumbuka sana. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. .
 
Aisee pale Kwa idosi aliniwekea offer nying sana ni kweli n ubaa ushiri n mbele kidogo
 
Back
Top Bottom