Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Yupo mmoja pale kwa Bigi wa njia panda ya Himo anaitwa Heri Mboro.Hao mbilikimo nawaangali DSTV familia ya Johnson mda huu😄
Haahah imeshawah ona wapi mchaga emolo😄
Heri Mboro ? Mboro who whichi what where whenYupo mmoja pale kwa Bigi wa njia panda ya Himo anaitwa Heri Mboro.
Majina ya kichaga hayo.Heri Mboro ? Mboro who whichi what where when
hiki kijamaa watakuja kukaua🤣 kanapenda mashangazi
Naskia Ana asili ya Macha me.hiki kijamaa watakuja kukaua🤣 kanapenda mashangazi
Kabila gani wewe ili nikutanie vizuri😄Naskia Ana asili ya Macha me.
OromosKabila gani wewe ili nikutanie vizuri😄
Oromos ndio watu wa wap?Oromos