Hivi wale maanduje/mbilikimo walioko Marekani wanatoka wapi wanazaliwa huko au wanatengenezwa?

You could go to any hood, bet they know me,Boy, you're a little niqqa; Gary Coleman!
 
Alafu hivi vinajua kuchezea de liboloz hatari...na vilivyo portable basi hadi raha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ha ha ha.... Viko Kama vigorori vinavoizungukia na kuikatikia
 
Unamzungumzia Sophia? Yule kina kipindi alikuwa anakaa kwa mama yangu mkubwa. Mwaka juzi ile walimtia mimba. Watu wana hatari, mtoto wake alipofikq miezi sita masikin ya Mungu akawa hawezi kumbeba mikono mifupi. .
Yes ndio huyo Sophy Massawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…