njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi.
Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?!
This is very sad and absurd! Kwa mwendo huu tuendelee kufatilia tu kesi za Kenya at least kuna watu wanao jiheshimu na kuheshimu taaluma.