njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ndiyo maana hata siasa za kenya na hata upingaji wao matokeo mahakamani una mvuto, sasa jaji hata kesi ya kipouuzi kama ya mzee mdee na covid 18 wenzake unaweweseka kusubiria maamuzi ya juu ukipewa ya kina odinga si utakimbilia burundi kujificha?Majaji wa sasa hivi wana kadi za CCM, wanapata teuzi kutokana na ufuasi wao, nani atataka kuwachukiza wakubwa akose uteuzi? Huu uteuzi na marupurupu ambayo sio stahili yao ndio vinavyoponza, kataa kubali ndio hivyo
Toothless Parliament, Powerless Courts, and Omnipotent IncumbentsMajaji wa sasa hivi wana kadi za CCM, wanapata teuzi kutokana na ufuasi wao, nani atataka kuwachukiza wakubwa akose uteuzi? Huu uteuzi na marupurupu ambayo sio stahili yao ndio vinavyoponza, kataa kubali ndio hivyo
Majaji wa kizazi hiki ni wavivu, wajinga na wazembe ni wengi mno... shida hii hupelekea jaji kuwaza kujipendekeza kwa mamlaka za maamuzi ili apewe position ya kula bata kama vile ujaji kiongozi... jaji kwenye tume mbalimbali na mahakama ya rufani. Inatia aibu sana.Nakumbuka kesi nyingi nzito serikali ilikuwa inapigwa chini,kina mtikila ,masumbuko lamwai, mabere mara...
... umetumia vigezo gani ku-conclude Chief?Watanzania wengi mlishakaririshwa kwamba OLD IS GOLD
Si ajabu wapo wanaoamini Pele ni zaidi ya Messi, lakini kiuhalisia Messi ni zaidi ya Pele. Au Pele ni zaidi ya Maradona, lakini kiuhalisia Maradona ni zaidi ya Pele
una uelewa mdogo sana wapi nimesema walikuwa majaji, rudia kusoma otherwise unawakilisha asilimia kubwa ya wabongo wajinga na wanafikiMtikila, Lamwai, Mabere…. ni lini walikuwa majaji?