Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"
1733072482734.jpg
hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu

Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena

Mnajazana UGALATIA sana wanawake wa kizazi hiki cha wanawake wengi WAGALATIA

Harakati za kijinga zinazofumbaza uelewa na utamaduni wa kike na hulka za kike umekuwa mwiba kwa wanawake wenye AKILI ZA PANZI
 
Back
Top Bottom