Hivi wali una nini cha mno?

sasa ukute mpunga wa kyela alaf wanyaki hawana nazi hivyo huwa wanatia maziwa yale ya kienyeji,bana we na maharage mabichi na ukute kadondoka kuku wa kienyeji,paja lako.sie kwetu kule lazima upatiwe na ngunyani la karanga.
lazima urudi
 
Huku kwetu tunakiita"cha ndege au cha mtume"
Mimi ugenin nisipo pikiwa cha ndege kesho yake nasepa
 
Hahaha umenikumbusha mbali asee jioni tulikua tunaulizana vipi mama kapika cha mtume au cha yesu.ukiambiwa cha mtume hakuna kucheza komborela usiku ni kuwahi mapemaa.cha mtume(wali) cha yesu (ugali).

Sent from mTalk
 
Kinapendwa sababu kile kingine kinamapungufu, wali una mafuta, chumvi nk. Wakati ugali unachemshwa tuuu bila kitu vitalinganaje? Wenzio wanaumiza vichwa kwa mambo ya maana we unawaza tofaut ya wali na ugali,,,,!!!??
Akili yake imefika mwisho wa kufikiri mkuu
 
Mbona lugha zenu zinaleta ukakasi atii !, huo wali haubanikwi, bali unakuwa unapaliwa na makaa ya moto , kwa maana ukishaiva kabla ya kukauka, unachukua chombo cha kufunika juu yake unaweka makaa ya moto, ndiyo kupalia kwenyewe hukooo!
Tena raha yake upate mkungu wa udongo.
[emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…