White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Wali ndo mdudu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza visa vyako Platozoom..lolWallah umenikumbusha shemeji yangu NIMPENDENANI. Yaani yule Mwali apika haijapata kutokea.
Hii ni best point.. Wali wa jiko la mkaa bwnSiku hizi wali watumbukizwa kwenye rice cooker tu, ladha hakuna kama ule wa 'kubanika'
Ha haa muache mwenzako ukoWiki ya 3 unakaa tu kazi unafanya sangap? Wageni nuksi tu mnang'anga'ania mjini[emoji79]
Akili yake imefika mwisho wa kufikiri mkuuKinapendwa sababu kile kingine kinamapungufu, wali una mafuta, chumvi nk. Wakati ugali unachemshwa tuuu bila kitu vitalinganaje? Wenzio wanaumiza vichwa kwa mambo ya maana we unawaza tofaut ya wali na ugali,,,,!!!??
Kwa hiyo na tigo ni tamu?
Tena raha yake upate mkungu wa udongo.Mbona lugha zenu zinaleta ukakasi atii !, huo wali haubanikwi, bali unakuwa unapaliwa na makaa ya moto , kwa maana ukishaiva kabla ya kukauka, unachukua chombo cha kufunika juu yake unaweka makaa ya moto, ndiyo kupalia kwenyewe hukooo!
Mtei baba mteiii.Ubeche siyo mchezo
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] nione gereeMpaka sasa mmefanya nini cha maana?Sanasana ni kufuatilia simu za babiez zenu.