Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Zamani tulikua tunaanzisha safari kutembelea ndugu wanaishi mbali, ili upikiwe wali, maana mgeni ili ajisikie amekilimiwa na mwenyeji wake, wampikie wali kuku, na sinia la wali lifunikwe na kawa.Ha ha kwa wale wa enzi zileeee. Nakumbuka siku ukipikwa ubwabwa
1. Unawahi kuoga maana hiyo ndio pswd ya kula.
2. Hupendi kabisa wenzako waje kucheza kwenu. Na wakija wakagundua kuna ubwabwa hawaondoki mpaka wanakula unaisha.
3. Ukiacha kiporo unawahi kurudi nyumbani ili bro asije akakipiga chote ukaambiwa songa ugali[emoji1] [emoji1] [emoji1]