Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?


Ndio unajua leo
Pole andika barua ya kuachana na hii fani tu
 
Why US!?

Kumbuka sisi ndio tunatumika kufanya kazi zote maalumu za kitaifa...

Sensa..
Daftari la kura...
Uchaguzi..

Tena kwa malipo madogo mnoo...

Why the hell are we treated like this!?? Like hogs..

Why!?

poleni watawalipa
 
Kwani ulipaji duni wa serikali hii ni kwa walimu tu au kwa watendaji wote wa serikali!
 
Jirani yangu alisafiri akatuaga anaenda kwao moshi wazazi wake wagonjwa, sasa karudi kutwa kulalamika NECTA NECTA nikamhoji vipi ulireseat unasubili matokeo mbona unalaumu NECTA ndio akasema wamefanya Nazi hawajalipwa
 
Tena nasikia mnalipwa laki 6 kwa kusahihisha mitihani kidato cha pili na nne, aisee poleni sana.. Ila Mityaano tyena
 
Manina acha mshike adabu nyie si ndio mlisimamia mnalalamika nini sasa acha adabu itushike wrote
 
ni watumishi wote hana habari nao. kibaya zaidi vyama vyetu vya wafanyakazi vimekuwa na kazi ya kusifu tu.
nao
 
Baada ya kusahihisha mitihani kwani hamkupewa maji ya kunywa
 
Umenena vema kabisa yaani utafikiri upo huko kwenye hio carrier. Yaani % kubwa ya walimu ni wasengerema balaa. Huwa nashangaa sana kuona mwalim anajitolea eti kufundisha siku za wikendi kwa wema upi aliotendewa😬😬 yaani ilmradi kujipendekeza tu.

Ila hapo mwisho naomba nisikubaliane na ww kwa jambo moja. Yaani mwl yyte aliesoma grade A hata akijiendeleza mpaka phd ilimradi tu akirudi kufundisha alikotoka bado ni boya tu. Hawabadilikagi hawa. Sana sana arrogance ndo itaongezeka kwake kwa kujiona ana elimu kubwa kuliko wenzake. Hakuna cha msimamo wala nn. Labda magrade A yote yastafishwe alafu waajiliwe walim wengine kuanzia elimu angalau ya diploma in sec na si ile ya primary
 
Umeandika kwa hisia kalii.. Huenda na ww ni mwalimu. Hupati nafasi hiyi kwasababu huna maadili. Kazi hiyo ni nyeti. Endelea sugua. Mpumbavu kabisa wewe.
Nimekuwa na wasiwasi mkubwa sana na uwezo wako wa kitaaluma huko kazini kwako. Nawapa pole wanafunzi unaowahudumia
 
Punguza wenge.
Katibu wenu alisema mko na mishahara mizuri na malupulupu ya kutoshaaaaa
 
Vumilieni walimu fanyeni Kama mmechangia uchumi wa Kati tu hii ngoma ni Hadi 2045
 
Kuwa mwalimu tu, unapata na chembechembe za uchawi, maana wivu, kijino pembe ni kawaida
 
Ualimu ni kada ya watu wenye ufaulu duni wa mitihani, hicho mnacholipwa kinawatosha
Unaongea uongo Mkuu. Nilikuwa kwenye kamati ya uhakika wa vyeti feki Halmashauri X.

Pale ndiyo nilibaini kuna watu wengi hasa afya wana D mbili tu za Chem na Bios ila ni watumishi wa Umma.
 
Hii kada yetu ya ajabu sana.alafu utakuta Kuna walimu makada wa chama chakavu😄😄😄
 
Unaongea uongo Mkuu. Nilikuwa kwenye kamati ya uhakika wa vyeti feki Halmashauri X.

Pale ndiyo nilibaini kuna watu wengi hasa afya wana D mbili tu za Chem na Bios ila ni watumishi wa Umma.
Hizo ni sawa na A 4 za civics,kiswahili,histori na literature.
 
Kuna mwalimu mmoja jimboni kwangu baada ya ushindi wa kishindo wa sisiemu, akaniambia tatizo wapinzani wengi hawakujiandisha na hata waliojindikisha wengi hawajapiga kura,nikamuuliza umejuaje? Akabaki anakenua tu,5more
Wapambane sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…