Walimu walioajiriwa 2012 ilibidi wapande madaraja July 2015 lakini haikuwa hivyo, tukaendelea kuchapa kazi. Sasa namuomba waziri simbachawene atuambie sisi walimu wa Ileje tunadharauliwa au hatufahamiki na serikali? Wenzetu wilaya zingine wamepanda madaraja tokea mwezi wa kwanza sisi hadi Leo...
Nimejaribu kuangalia barua ya dada yangu wa wilaya ya Nyamagana Mwanza nimeshangaa. Barua inaonesha amelandishwa daraja analostahili lakini Baraza la madiwani ndo linaonekana kuwapandisha kinyume na utaratibu wa kawaida ambao ameniambia ni TSD wanaopandisha walimu. Je ni sahihi au changa la macho!

Hakuna mgomo wa walimu hizi Ni kauli za kujifariji tu ,tunaona wakuu wa shule ,walimu wakuu ,ma meck wanavyowapelekesha walimu wa kawaida kisa posho wanazokula na kwa ujinga wa walimu nao wanasalitiana wao kwa wao kwa kuamua kuwa wapeleka taarifa za walimu wenzao kwa hao viongoz uchwara.
Mbali na Hilo kwenye shule moja kutakuwa na walimu wawil au watatu wenye misimamo ila wote wanaobak wanakuwa upande wa mkuu wa shule au Mwalimu mkuu na hao wengine kuchukiwa ,Sasa huo mgomo unaousemea Ni upi ndugu?
Kuna walimu vihere here wanafundisha had jumamosi Tena bure kabisa kisa tu kujipendekeza kwa mkuu wa shule.
Kuna walimu wanoko mnapanga hili baadae wanasalit.
Narudia Tena hakuna mgomo wa walimu kabisa kwenye nchi hii ,coz watu wanapiga Kaz had ambazo ziko nje ya mkataba wake ,wanafundisha had sio poa bahat mbaya tu mitoto ya siku iz Ni mivilaza.
Ukweli utabak kuwa mchungu Sana hii kada inatumika vibaya mno na ina watumish wengi ambao hawakufaa kuwa hapo.
Ili heshima ilejee kwenye hii kada huku primary watoe hawa walimu wa cheti waende wakasome primary Mwalimu aanze na diploma na degree ,alaf sec Mwalimu aanze na degree na masters hapo utaona Moto wake .
Walimu wanaoongoza kwa kuiharibu hii kada Ni hasa wa primary wale wenye chet Ni waoga wamepoa Kama kuku wa mdondo kila kitu Ni ndio tu .
Umenena vema kabisa yaani utafikiri upo huko kwenye hio carrier. Yaani % kubwa ya walimu ni wasengerema balaa. Huwa nashangaa sana kuona mwalim anajitolea eti kufundisha siku za wikendi kwa wema upi aliotendewa😬😬 yaani ilmradi kujipendekeza tu.
Ila hapo mwisho naomba nisikubaliane na ww kwa jambo moja. Yaani mwl yyte aliesoma grade A hata akijiendeleza mpaka phd ilimradi tu akirudi kufundisha alikotoka bado ni boya tu. Hawabadilikagi hawa. Sana sana arrogance ndo itaongezeka kwake kwa kujiona ana elimu kubwa kuliko wenzake. Hakuna cha msimamo wala nn. Labda magrade A yote yastafishwe alafu waajiliwe walim wengine kuanzia elimu angalau ya diploma in sec na si ile ya primary
Umeandika kwa hisia kalii.. Huenda na ww ni mwalimu. Hupati nafasi hiyi kwasababu huna maadili. Kazi hiyo ni nyeti. Endelea sugua. Mpumbavu kabisa wewe.
Kuna mwalimu mmoja jimboni kwangu baada ya ushindi wa kishindo wa sisiemu, akaniambia tatizo wapinzani wengi hawakujiandisha na hata waliojindikisha wengi hawajapiga kura,nikamuuliza umejuaje? Akabaki anakenua tu,5more
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.