Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
VP mtonyo umetoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! Uchumi wa kati, halafu anakuja waziri tena wa mambo ya nje wa China, tunageuka ombaomba. Tunaomba hiki, na lile, na lile, sisi si ni Dona Kantri?Pole mwl. Haya mambo ya uchumi wa kati Tuendelee kuvumiliana
Anajua akiwaita wataomba Fulana zilizobaki kwenye KampeniAngalia hata Zanzibar rais wao anawaita sekta ya afya anaongea nao manesi lakini huwezi kuona rais akiwaita kuongea na mialimu.
Shida yenu mmekuwa mkiimbishwa mapambio na kutumiwa kama daraja kufikia malengo yao,kwa mlo wa siku moja ,hivyo acheni kulialia pambaneni na hali zenu.Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Pia soma:
Walimu tulioajiriwa 2012 Ileje tumewakosea nini serikali? Malimbikizo hatulipwi madaraja hatupandi!
Walimu walioajiriwa 2012 ilibidi wapande madaraja July 2015 lakini haikuwa hivyo, tukaendelea kuchapa kazi. Sasa namuomba waziri simbachawene atuambie sisi walimu wa Ileje tunadharauliwa au hatufahamiki na serikali? Wenzetu wilaya zingine wamepanda madaraja tokea mwezi wa kwanza sisi hadi Leo...www.jamiiforums.com
Walimu wamepandishwa madaraja ila kuna shaka
Nimejaribu kuangalia barua ya dada yangu wa wilaya ya Nyamagana Mwanza nimeshangaa. Barua inaonesha amelandishwa daraja analostahili lakini Baraza la madiwani ndo linaonekana kuwapandisha kinyume na utaratibu wa kawaida ambao ameniambia ni TSD wanaopandisha walimu. Je ni sahihi au changa la macho!www.jamiiforums.com
Mkuu unawachukia walimu bure, hata wasinge simamia Uchaguzi matokeo yangebaki vile vile amini usiamini.Inaeleweka na kukubalika kuwa Ualimu kweli ni laana na walimu wote mmelaaniwa kukubali kutumiwa na mwalimu kama ninyi kwenye Uchafuzi na kukubali kunyimwa haki zenu na mwalimu mwenzenu huyohuyo yeye akila jogoo la laki.
Subilini 2025 posho za kusimamia uchaguzi, huo ndio muda pekee tunaowahitaji.Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Pia soma:
Walimu tulioajiriwa 2012 Ileje tumewakosea nini serikali? Malimbikizo hatulipwi madaraja hatupandi!
Walimu walioajiriwa 2012 ilibidi wapande madaraja July 2015 lakini haikuwa hivyo, tukaendelea kuchapa kazi. Sasa namuomba waziri simbachawene atuambie sisi walimu wa Ileje tunadharauliwa au hatufahamiki na serikali? Wenzetu wilaya zingine wamepanda madaraja tokea mwezi wa kwanza sisi hadi Leo...www.jamiiforums.com
Walimu wamepandishwa madaraja ila kuna shaka
Nimejaribu kuangalia barua ya dada yangu wa wilaya ya Nyamagana Mwanza nimeshangaa. Barua inaonesha amelandishwa daraja analostahili lakini Baraza la madiwani ndo linaonekana kuwapandisha kinyume na utaratibu wa kawaida ambao ameniambia ni TSD wanaopandisha walimu. Je ni sahihi au changa la macho!www.jamiiforums.com
Mmekosa uzalendo na laana ya kushirikiana na tume kuvuruga uchaguzi lazima iwaumize mileleMishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Pia soma:
Walimu tulioajiriwa 2012 Ileje tumewakosea nini serikali? Malimbikizo hatulipwi madaraja hatupandi!
Walimu walioajiriwa 2012 ilibidi wapande madaraja July 2015 lakini haikuwa hivyo, tukaendelea kuchapa kazi. Sasa namuomba waziri simbachawene atuambie sisi walimu wa Ileje tunadharauliwa au hatufahamiki na serikali? Wenzetu wilaya zingine wamepanda madaraja tokea mwezi wa kwanza sisi hadi Leo...www.jamiiforums.com
Walimu wamepandishwa madaraja ila kuna shaka
Nimejaribu kuangalia barua ya dada yangu wa wilaya ya Nyamagana Mwanza nimeshangaa. Barua inaonesha amelandishwa daraja analostahili lakini Baraza la madiwani ndo linaonekana kuwapandisha kinyume na utaratibu wa kawaida ambao ameniambia ni TSD wanaopandisha walimu. Je ni sahihi au changa la macho!www.jamiiforums.com
Ni laana ya wizi wa Kura mnavotumikaga kuiba Kura Mungu hapendi. Laana hii itawatafuna waalimu hadi kizazi chenu Cha nne. Hata Kama mkilipwa hivyo vihela mjue bado kilio Cha watanzania cha kuibiwa haki yao kitawatafuna tu ninyi na vizazi vyenu.Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Pia soma:
Walimu tulioajiriwa 2012 Ileje tumewakosea nini serikali? Malimbikizo hatulipwi madaraja hatupandi!
Walimu walioajiriwa 2012 ilibidi wapande madaraja July 2015 lakini haikuwa hivyo, tukaendelea kuchapa kazi. Sasa namuomba waziri simbachawene atuambie sisi walimu wa Ileje tunadharauliwa au hatufahamiki na serikali? Wenzetu wilaya zingine wamepanda madaraja tokea mwezi wa kwanza sisi hadi Leo...www.jamiiforums.com
Walimu wamepandishwa madaraja ila kuna shaka
Nimejaribu kuangalia barua ya dada yangu wa wilaya ya Nyamagana Mwanza nimeshangaa. Barua inaonesha amelandishwa daraja analostahili lakini Baraza la madiwani ndo linaonekana kuwapandisha kinyume na utaratibu wa kawaida ambao ameniambia ni TSD wanaopandisha walimu. Je ni sahihi au changa la macho!www.jamiiforums.com
Siyo shemeji yao, ni mwenzao, ila yeye alishtuka mapema akakimbilia kwenye siasa kwenye maslahi mapana.Hata sisi tunashangaa kulikoni, maana kwenye sanduku la kura mbona mnamsaidia sana kuzidumbukiza za mafungu ? itakuwa kuna sehemu mnafeli kaeni chini myamalize na shemeji yenu !!