Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Hao walimu wawe wapole wale matunda ya Kazi yao ya kuisaidia ccm ushindi
 
Pole mwl. Haya mambo ya uchumi wa kati Tuendelee kuvumiliana
Du! Uchumi wa kati, halafu anakuja waziri tena wa mambo ya nje wa China, tunageuka ombaomba. Tunaomba hiki, na lile, na lile, sisi si ni Dona Kantri?
 
Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?

Pia soma:
Shida yenu mmekuwa mkiimbishwa mapambio na kutumiwa kama daraja kufikia malengo yao,kwa mlo wa siku moja ,hivyo acheni kulialia pambaneni na hali zenu.
 
Mko wengi sana kaka! Inchi ikiwagaramia mnavyotaka kutatokea inflation, zaidi ya 0.75 ni walimu sasa unategemea nini?
 
Inaeleweka na kukubalika kuwa Ualimu kweli ni laana na walimu wote mmelaaniwa kukubali kutumiwa na mwalimu kama ninyi kwenye Uchafuzi na kukubali kunyimwa haki zenu na mwalimu mwenzenu huyohuyo yeye akila jogoo la laki.
Mkuu unawachukia walimu bure, hata wasinge simamia Uchaguzi matokeo yangebaki vile vile amini usiamini.
 
***** zao walimu njaaa na kusalitiana na kutokujua thamani yetu ndio inatufanya watumwa kichaka cha unyonyaji ni cwt
 
Baba anajenga nyumba watoto wavumilie ni mwendo wa ugali ndondo na nyumba ndio kwanza ipo kwenye msingi[emoji23][emoji23]
 
Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?

Pia soma:
Subilini 2025 posho za kusimamia uchaguzi, huo ndio muda pekee tunaowahitaji.
 
Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?

Pia soma:
Mmekosa uzalendo na laana ya kushirikiana na tume kuvuruga uchaguzi lazima iwaumize milele
 
Hata sisi tunashangaa kulikoni, maana kwenye sanduku la kura mbona mnamsaidia sana kuzidumbukiza za mafungu ? itakuwa kuna sehemu mnafeli kaeni chini myamalize na shemeji yenu !!
 
Mishahara yetu duni..... Tumekubali.
Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali.
Madaraja hatupandi.. Tumekubali.
Annual increment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?

Pia soma:
Ni laana ya wizi wa Kura mnavotumikaga kuiba Kura Mungu hapendi. Laana hii itawatafuna waalimu hadi kizazi chenu Cha nne. Hata Kama mkilipwa hivyo vihela mjue bado kilio Cha watanzania cha kuibiwa haki yao kitawatafuna tu ninyi na vizazi vyenu.
 
Hata sisi tunashangaa kulikoni, maana kwenye sanduku la kura mbona mnamsaidia sana kuzidumbukiza za mafungu ? itakuwa kuna sehemu mnafeli kaeni chini myamalize na shemeji yenu !!
Siyo shemeji yao, ni mwenzao, ila yeye alishtuka mapema akakimbilia kwenye siasa kwenye maslahi mapana.
 
Hakuna mswahili yeyeto anaeshiba amewahi wakumbuka wasioshiba Ingekuwa hivyo kusingekuwepo na umasikini nchini.
 
Back
Top Bottom