Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Walokole (Wapentekosete) wanaamini kuna siku bwana Yesu atakuja kuchukua watu wake na waamini walio hai pamoja na wale waliokufa watafufuka na kupaa kwenda mawinguni mbinguni kuishi na Yesu Kristo!
Watu Waovu watabaki duniani hawatapaa kwenda mbinguni.
Kama mke wako ameokoka na wewe hujaokoka utashangaa tu siku amepotea haonekani tena, hivyo hivyo kwa watoto wako, mume wako au ndugu zako waliookoka.