Yule anatapeli wajinga ambao hata hivyo wameonywa sana na hawasikiiNafikiri Mwamposa ana athari hasi kwenye jamii.
Walokole (Wapentekosete) wanaamini kuna siku bwana Yesu atakuja kuchukua watu wake na waamini walio hai pamoja na wale waliokufa watafufuka na kupaa kwenda mawinguni mbinguni kuishi na Yesu Kristo!
Watu Waovu watabaki duniani hawatapaa kwenda mbinguni.
Kama mke wako ameokoka na wewe hujaokoka utashangaa tu siku amepotea haonekani tena, hivyo hivyo kwa watoto wako, mume wako au ndugu zako waliookoka.
Kuna wale wa sabato waliokwenda airport bila hata passport ila wanataka kukwea pipa kuja Marekani na Visa hawakuwa nazo. Sijui ni ukichaa ama namna gani vipi?Nadhani tuwaache kama uendawazimu wao hauna athari kwa wengine
Mimi ni mshabiki mkubwa wa Mwamposa, ngoja awanyooshe kwanza.Yule anatapeli wajinga ambao hata hivyo wameonywa sana na hawasikii
Yoda: Ariseeeeeeeeeee
Me : and shineeeeeeee
Postooooo kuna kuna kitu kimetokea😎
mshamba_hachekwi
Alooooo wale waliua 😆😆🙌🏼Kuna wale wa sabato waliokwenda airport bila hata passport ila wanataka kukwea pipa kuja Marekani na Visa hawakuwa nazo. Sijui ni ukichaa ama namna gani vipi?
Wewe muuumini wa dini au dhehebu gani ?Walokole (Wapentekosete) wanaamini kuna siku bwana Yesu atakuja kuchukua watu wake na waamini walio hai pamoja na wale waliokufa watafufuka na kupaa kwenda mawinguni mbinguni kuishi na Yesu Kristo!
Watu Waovu watabaki duniani hawatapaa kwenda mbinguni.
Kama mke wako ameokoka na wewe hujaokoka utashangaa tu siku amepotea haonekani tena, hivyo hivyo kwa watoto wako, mume wako au ndugu zako waliookoka.
Tapeli mshirikaMimi ni mshabiki mkubwa wa Mwamposa, ngoja awanyooshe kwanza.
Sidhani kama huo mstari una apply katika context kama hiyo. Nafikiri kuna baadhi ya mafundisho ya dini yanawafanya waumini wake wawe wapumbavu.Alooooo wale waliua 😆😆🙌🏼
Bibilia inasema ukiwa na imani unaweza kuhamisha hata milima
Sasa sielewi wao walikwama wapi
Uzuri Mwamposa anawapiga watu wa dini zote, hadi waganga wa kienyeji anawapiga. Jamaa namkubali mno!Tapeli mshirika
Acheni wizi
Yoda hajui mambo, ni wakristo wote wanaamini kwenye unyakuo.Yule anatapeli wajinga ambao hata hivyo wameonywa sana na hawasikii
Yoda: Ariseeeeeeeeeee
Me : and shineeeeeeee
Postooooo kuna kuna kitu kimetokea😎
mshamba_hachekwi
Kasheshe watu na dini zenuSidhani kama huo mstari una apply katika context kama hiyo. Nafikiri kuna baadhi ya mafundisho ya dini yanawafanya waumini wake wawe wapumbavu.