Hivi Walokole wako serious, Kuna siku watapaa kama ndege kwenda mawinguni mbinguni kuishia?

Wakatoliki hawana mwisho wa dunia wa watu wote wala unyakuo. Kwa Wakatoliki mwisho wa dunia ni siku unayokufa.
 
Ikiwa kile wanacho amini ndio kinawafanya waone purpose ya maisha, bas tuwaache na wanacho amini in the end kila mtu anacho anacho amini.
 
Watu WA Astra projection tulishaanza kupaa kitambo,hope Ni Kweli watapaa
 
Yoda hajui mambo, ni wakristo wote wanaamini kwenye unyakuo.

Mwamposa sio mlokole, ni muinjilishaji wa mafanikio. Ulokole ni imani yenye historia ndefu sana.

Hatuwezi kuzizuia hizi imani, tuziache tu.
Eeeh kama hawana athari tuwaache
Mie siwaelewi watu wa dini zote
nimewaacha kama walivyo

Naheshimu imani zao siwaingilii
Nao wao waheshimu mitazamo yangu ya kutokubaliana na mambo ya dini
Simple tu
Nasubiri siku nisikie Mwamposa katibu kiba100 nami niende.
Kuna dawa rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…