Hivi wana Msimbazi wenzangu mnaliona hili gharika linalokuja?

Last edited by a moderator:
Taarifa nivizuri kupewa, ila mimi nakerwa na watu kutupa matumaini sana,kuongea sana mbwembwe nyingi halafu uwanjani tukijitahid droo! kiukweli sihami simba ila inanishusha moyo mpaka namalizaga wiki sasaivi kichwani mwangu haijaja fikra kuhusu timu yangu simba
 
Julio kocha wa zamani wa simba na mwadui kwa sasa Alisema"Simba ni hile hile ya msimu uliopita HAKUNA ILICHOBADIRIKA NA NI TIMU YA KAWAIDA TU"
 
Mkuu usivunjike moyo na kidraw cha Mwadui.. Timu iko vizuri.
 
Julio kocha wa zamani wa simba na mwadui kwa sasa Alisema"Simba ni hile hile ya msimu uliopita HAKUNA ILICHOBADIRIKA NA NI TIMU YA KAWAIDA TU"

Mkuu, nayaheshimu mawazo ya Julio.. ila kumbuka maoni yake si sheria.. Pia kesho anaweza kocha wa zamani Phiri nae akasema SimbaSC hii ni ya ulaya.. msimu huu lazima ichukue ubingwa, naye mawazo yake tunatakiwa tuyaheshimu kama tulivyoyaheshimu ya Julio.
 
Mkuu Baba Kiki am always breathing Simba SC,

huu usajili wenu mnaoufanya kwa kubahatisha unachosha sana,kelele nyingi mnaenda senegal mnaleta mtu mechi moja mmeshamuona hafai,hiyo sijawahi iona duniani ni simba tu.Leo tena nimeona mmerudi tena senegal kuleta mwingine nyie hamna tofauti na wapiga ramli,bahati nzuri mashabiki nao wanapenda hizo sarakasi kweli kua kiongozi wa hizi timu raha sana,kama kuchunga n'gombe tu.
 
Mkuu,

• Ndala walimleta Zutah.. wakamuona hafai sasa karudi kwao
kuendelea na kazi yake ya kuuza genge.. SIKUONA KAULI YAKO
• Azam walimleta Midfield toka Uingereza, wakaona hafai,
akarudishwa kwao kuendelea na kazi yake ya kuuuza
supermarket.. SIKUONA KAULI YAKO

Leo Simba SC [mabingwa wa VPL msimu wa 2015/16] kumrudisha kwao Niang, naona unaoongea.
Tuacheni tuendelee kusuka Kikosi Chetu.
 
hamna timu pale

pale kuna kikosi cha mangamizi.. kama ingekua Simba ni kikosi maalumu katika jeahi, basi pale kuna special unit toka China, inaitwa SWAT.
 
ligi inaanza hapo. tusiwe na maneno mengi
 
Simba inatisha kila idara... Umoja ndio ngao yetu, tukiwa wamoja ndala na lambalamba wataisoma namba.
 
Mkuu, hii Simba ya sasa ni NGUVU MOJA.. Natamani ligi ianze hata kesho. Ili matomaso waweze kuamini kauli yako.
 
Back
Top Bottom