Hivi wana Msimbazi wenzangu mnaliona hili gharika linalokuja?

Hivi wana Msimbazi wenzangu mnaliona hili gharika linalokuja?

Hivi usajili si umeisha?

Mkuu dirisha la kusajili wachezaji wa kimataifa linafungwa 06/09/2015.. ndo maana unaona kila siku tunaleta bunduki.

Source 👇👇

1440599007448.jpg
 
Mmi huyo kocha wenu nampa mechi tano tu za ligi,msipomfurumusha mnidai vocha za 5000.
 
Back
Top Bottom