Miaka yote simba hufanya vizuri mechi za maandalizi..
Mkuu naomba nikupe taarifa Simba SC imeshinda mechi 7 mfululizo, kabla ya kudraw na watoto wa Mgodini.
Mkuu sembo sijapingana kabisa na ukweli huo, nilichokiandika ni kweli pia.
Umekaona haka ka uzi: <https://www.jamiiforums.com/sports/916347-nimeamua-rasmi-kuacha-kuishabikia-simba.html>
Haha.. Nimekaona Mkuu, na nimemtakia safari njema aendako, pia nimempa angalizo kua anapishana na makombe.
Mkuu naomba nikupe taarifa Simba SC imeshinda mechi 7 mfululizo, kabla ya kudraw na watoto wa Mgodini.
Taarifa nivizuri kupewa, ila mimi nakerwa na watu kutupa matumaini sana,kuongea sana mbwembwe nyingi halafu uwanjani tukijitahid droo! kiukweli sihami simba ila inanishusha moyo mpaka namalizaga wiki sasaivi kichwani mwangu haijaja fikra kuhusu timu yangu simba
Julio kocha wa zamani wa simba na mwadui kwa sasa Alisema"Simba ni hile hile ya msimu uliopita HAKUNA ILICHOBADIRIKA NA NI TIMU YA KAWAIDA TU"
Mkuu Baba Kiki am always breathing Simba SC,
huu usajili wenu mnaoufanya kwa kubahatisha unachosha sana,kelele nyingi mnaenda senegal mnaleta mtu mechi moja mmeshamuona hafai,hiyo sijawahi iona duniani ni simba tu.Leo tena nimeona mmerudi tena senegal kuleta mwingine nyie hamna tofauti na wapiga ramli,bahati nzuri mashabiki nao wanapenda hizo sarakasi kweli kua kiongozi wa hizi timu raha sana,kama kuchunga n'gombe tu.
Sio cha mwadui subiria ligi ianzeMkuu usivunjike moyo na kidraw cha Mwadui.. Timu iko vizuri.
pale kuna kikosi cha mangamizi.. kama ingekua Simba ni kikosi maalumu katika jeahi, basi pale kuna special unit toka China, inaitwa SWAT.
Mkuu kenda haiko mbali na Kumi.. Tuwe na subira.