Wanapoteza tu Muda wao hasa hawa wakike.Matukio yanayonihuzunisha
1.wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.yani shule wanaingia saa 4
Asilimia kubwa ya hao wanafunzi wanaochaguliwa kwenda shule za kata ni wale ambao walikuwa hawapendi shule tangu wakiwa shule za msingi so kule huwa wanazolewa na kujazwa shule za kata kwa ajili ya kusogeza muda mbele tu.Matukio yanayonihuzunisha
1.wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.yani shule wanaingia saa 4
kuhusu taaluma
1.kufaulu 1 kati ya 120
2.mwanafunz mwaka mzima kasoma page 2
3.muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari
4.akienda ana daftari moja ambalo hilo hilo anaandikia masomo yote
5wengi wao hawapendi kuchomekea mashati wakenda shuleni
Japo sio wote ila wengi wao wako hivyo je tatizo ni nini
Mazingira ya shule zenyewe si rafiki kwa elimu. Ukizingatia watoto hao wako kwenye umri wa balehe na mihemuko.Matukio yanayonihuzunisha
1.wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
Sure Mkuu vilaza wengi wapo huko kwenye shule za kataAsilimia kubwa ya hao wanafunzi wanaochaguliwa kwenda shule za kata ni wale ambao walikuwa hawapendi shule tangu wakiwa shule za msingi so kule huwa wanazolewa na kujazwa shule za kata kwa ajili ya kusogeza muda mbele tu.
Na asilimia kubwa shule za msingi walifeli ila wanawabeba tu,wewe fikiria mtu hajui hata kusoma halafu anaambiwa kafaulu huo mtihani aliufanya vipi ikiwa hata kusoma kiswahili hajui
Salute Salute salute mkuu, umejibia hii hoja vema kama GT,again humu tuna working class ambao wanajifanya kabisa hawajui kinachoendelea in a real life, wao vitoto vyao vinasomeshwa huko kwenye English medium schools, vitoto vyao vinatibiwa kwenye vizahanati vya uchuchuroni wanajiona wameyatoa maisha, hakuna mtoto au mzazi anayependa shule za kayumba na huyo aliyezianzisha hata kitukuu chake hakisomi hukoNaanza;
1. Wananyanyaswa na makonda kwa kutopanda daladala na nyie wenyewe mkishuhudia bila kufanya lolote
2. Wanakosa elimu bora, miundombinu ya kiufundishaji pamoja mazingira mabovu ya shule
3. Manyanyaso kutoka kwa baadhi ya walimu, ikiwemo adhabu kali, maneno machafu, dharau na udhalilishaji
4.Baadhi yao wana hali ngumu kimaisha, ikiwemo kukosa vifaa vya kusomea na hela ya kula shuleni
6.Juu ya changamoto zote ila baadhi wanatoboa vizuri kushinda wale broilers, wako very smart
Nakazia [emoji419][emoji419][emoji419]Naanza;

Uko sahihi mkuu.Naanza;

Kwa taarifa yako hao wanafunzi hawana shida yoyote ile. Mwenye shifa hapo ni Serikali iliyokuja na sera ya kipuuzi, ya kuifanya elimu ya sekondari kuwa ya msingi.Matukio yanayonihuzunisha
1.wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.yani shule wanaingia saa 4
kuhusu taaluma
1.kufaulu 1 kati ya 120
2.mwanafunz mwaka mzima kasoma page 2
3.muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari
4.akienda ana daftari moja ambalo hilo hilo anaandikia masomo yote
5wengi wao hawapendi kuchomekea mashati wakenda shuleni
Japo sio wote ila wengi wao wako hivyo je tatizo ni nini
Ubaya wa watanzania wengi akili zimezama kuona mtu mwenye akili nyingi ni yule mwenye ma vyeti mengiKwa taarifa yako hao wanafunzi hawana shida yoyote ile. Mwenye shifa hapo ni Serikali iliyokuja na sera ya kipuuzi, ya kuifanya elimu ya sekondari kuwa ya msingi.
Kilichotakiwa kufanywa kilikuwa ni kuwatengenezea mazingira mazuri hao watoto. Wenye uwezo mkubwa wangepelekwa shule za sekondari za bweni! Na wale wenye uwezo wa wastani wangepelekwa vyuo vya vyeta ili wakajifunze ufundi.
Kitendo cha kuwalazimisha watoto wasio na mzuka wa kusoma; kusoma mpaka kidato cha nne, tena katika mazingira magumu na hatarishi! na mwisho wa siku kupata division 0! Ni wastage of time and resources.