OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema umekaribia. Makelele mengi kutoka mjukwaa mbalimbali,vyombo vya habari na wadau wa kisiasa na kidemokrasia wanatoa maoni, wengine hata wanalazimisha kupiga Kura Kwa kutaja jina la mgombea mmojawapo kati ya waliochukua fomu.Duh! Sasa wadau je Demokrasia ndiyo hivi? Wote ni wapiga kura wa Chadema? Mi nadhani tusubiri wapigakura halali wa Chadema watatupatia mwenyekiti halali wa Chadema.