OPEN the Door
Senior Member
- Nov 15, 2024
- 170
- 84
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huchaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho. Huu ni mkutano wa juu zaidi wa maamuzi ndani ya chama, na wajumbe wake ni pamoja na:Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema umekaribia. Makelele mengi kutoka mjukwaa mbalimbali,vyombo vya habari na wadau wa kisiasa na kidemokrasia wanatoa maoni, wengine hata wanalazimisha kupiga Kura Kwa kutaja jina la mgombea mmojawapo kati ya waliochukua fomu.Duh! Sasa wadau je Demokrasia ndiyo hivi? Wote ni wapiga kura wa Chadema? Mi nadhani tusubiri wapigakura halali wa Chadema watatupatia mwenyekiti halali wa Chadema.
Lakini kuita Chama Cha siasa Saccos haipendezi kabisa. Tuheshimu vyama vya siasa,tusiwabeze.Mbowe hawezi kukubali saccoss yake ipotee
Ok,sasa nimeelewa. Sasa sisi tuliopo kwenye mitanda ya jamii tunawezaje kutoa hukumu ilihali hao uliowataja ndo wahusika?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huchaguliwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho. Huu ni mkutano wa juu zaidi wa maamuzi ndani ya chama, na wajumbe wake ni pamoja na:
Nb: Asilimia zaidi ya 80 ya wajumbe tajwa hapo juu wamemchoka Mbowe
- Viongozi wa Kitaifa wa Chama
- Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa
- Wenyeviti wa Kanda
- Wawakilishi kutoka ngazi za chini za chama (wilaya na matawi)
- Viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama, ikiwa ni pamoja na wabunge na madiwani wa chama hicho.
Kupitia uchaguzi wa kidemokrasiaMbowe must go
"" ccm ni majizi
Kupitia uchaguzi wa kidemokrasiaMbowe must go
"" ccm ni majizi
Kupitia wapigakura wahusika, Je kelele hizi zinahusikaje?Mbowe must go
"" ccm ni majizi
Hiyo ni saccoss ya mbowe. Kitendo chake cha kuchukua fomu kimewasikitisha maelfu ya vijana na wamekata tamaa kabisa. Awaachie wengineLakini kuita Chama Cha siasa Saccos haipendezi kabisa. Tuheshimu vyama vya siasa,tusiwabeze.