gaintoo broisser
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 318
- 423
Asante Sana Ngoja kesho niende kwenye ofisi zaoNenda Ofisi ya Commission for Mediation and Arbitration (CMA) iliyopo karibu yako kwa ajili ya kupata haki zako
Kesho J2?Asante Sana Ngoja kesho niende kwenye ofisi zao
Hawa watu niliona balaa lao aisee kama mwajiri alikiuka sheria wanambana inavyotakiwaNenda Ofisi ya Commission for Mediation and Arbitration (CMA) iliyopo karibu yako kwa ajili ya kupata haki zako
Daaaah kweli,Hadi Juma tatuKesho J2?
Wako vizuri yeah katika ishu niliyoishuhudia.Kumbe WAPO vizuri daa nilishidwa pa kuanzia Sasa Mmenijuza vyema Hunk Man
Castr nimeku-pm lakini umefunga,naomba njoo WhatsApp 0786294545 nina jambo la kukuuliza[emoji1490]Castr nimeku-pm
Je, hapo kazini kuna chama cha wafanyakazi kwa maana ya (Trade Union)?Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga.
Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri huwa wanatishia na Kusema Kanishitaki Popote Siwezi Kukulipa Mshahara wako adi nipende Mimi, Kampuni X Hadi Nssf wanadai wanachama wao hawalipwi au Hawawekewi Mafao Yao.
NAJUA hii wengi wanapitia na wengine washapotezea Haki zao au Mishahara Yao,Kwa anayejua Kitengo Kinachotetea Haki za Mwajiriwa Atwambie.
Hivi kazini kuwa na Chama cha Wafanyakazi(Trade Union)ni takwa la Kisheria kwamba ni LAZIMA kiwepo??Je, hapo kazini kuna chama cha wafanyakazi kwa maana ya (Trade Union)?
Kingine una mkataba wa ajira? Katika mkataba wako terms?Na je, ni ww pekee haulipwi au na wenzako?
Kabla ya kwenda CMA unaweza pata msaada wa kisheria kwa aidha kwenda LHRC, BHRT au TLS juu ya suala lako...then CMA inaweza kuwa hatua ya mwisho.
Mwajiri wako ajapewa barua ya mkwara huyo.
Hajafaham issue ya regulatory complience
Trade union ni haki ya kila mfanyakaziHivi kazini kuwa na Chama cha Wafanyakazi(Trade Union)ni takwa la Kisheria kwamba ni LAZIMA kiwepo??
Asante sana, kiongozi Sikuwa naelewa kuhusu hiliJe, hapo kazini kuna chama cha wafanyakazi kwa maana ya (Trade Union)?
Kingine una mkataba wa ajira? Katika mkataba wako terms?Na je, ni ww pekee haulipwi au na wenzako?
Kabla ya kwenda CMA unaweza pata msaada wa kisheria kwa aidha kwenda LHRC, BHRT au TLS juu ya suala lako...then CMA inaweza kuwa hatua ya mwisho.
Mwajiri wako ajapewa barua ya mkwara huyo.
Hajafaham issue ya regulatory complience
Na miezi nane sasaYeah! Ni mandatory requirement ya The Employment and Labour Relation Act ya 2004 ingawa wengi hawatekelezi.
Kingine Mhusika angetujuza amefanya kazi kwa muda gani! Maana unaweza kwenda CMA then mwajiri anawesema ww ni kibarua tu!
Kwa hiyo Ofisi mfano Shirika binafsi,NGO nk likiwa halina Chama cha Wafanyakazi ni Kosa kisheria,si ndio Mkuu??Yeah! Ni mandatory requirement ya The Employment and Labour Relation Act ya 2004 ingawa wengi hawatekelezi.
Kingine Mhusika angetujuza amefanya kazi kwa muda gani! Maana unaweza kwenda CMA then mwajiri anawesema ww ni kibarua tu!